Stanley🛸 (@_stanley__99) 's Twitter Profile
Stanley🛸

@_stanley__99

•Apro King🛸
•LOWKEY 🐾
•Living life on my own terms🕸️
•YNWA || BARCA || SIMBA🦁

ID: 1141319236083691520

calendar_today19-06-2019 12:18:05

1,1K Tweet

1,1K Followers

756 Following

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

1. Ishi na watu 2. Ishi kwa uwezo wako 3. Kuwa mbinafsi kidogo 4. Kubaliana na matokeo Ukiweza ku control hivi hautapata shida ya Afya ya akili.

Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Hongera sana kaka... Karibu tucheze na 👇🏽 ~Under ~Over ~Double Chance ~DrawNoBet ~GG ~NG ~Asian HandCap Na vitengo kadha wa kadha Hongera sana Mkuu

Myunani (@maxtz255_) 's Twitter Profile Photo

Kwa kuwa Afya Yako Ya Akili Ni ya Muhimu Usi:- 1.Usioe 2.Usibeti 3.Usikopeshe 4.Usioe 5.Usimuahidi Mwanamke Pesa 6.Usioe 7.Usimnunulie zawadi Nyingi 8.Usicheze Michezo (Vikoba) 9.Usiweke Pesa kwenye ile bank ya Tembo wa kijani 10.Usioe

The mandevu (@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Nawakumbusha tu Dira ya Maendeleo inasema kufikia mwaka 2050 kila Mtanzania inatakiwa awe anaingiza Million 18 kwa mwaka mzima ila pakuzitoa utajua mwenyewe.😂

Nawakumbusha tu Dira ya Maendeleo inasema kufikia mwaka 2050 kila Mtanzania inatakiwa awe anaingiza Million 18 kwa mwaka mzima ila pakuzitoa utajua mwenyewe.😂