@abdimunai (@abdimunai) 's Twitter Profile
@abdimunai

@abdimunai

Artist @radiocitizenfm. #DriveOnReloaded /Inspector Mwala, Citizen TV

ID: 1288827453608263681

calendar_today30-07-2020 13:23:54

426 Tweet

3,3K Followers

17 Following

Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Matumaini yetu kwamba umekuwa na siku njema yenye fanaka na karibu kwenye Alhamisi ya mahojiano. Unasikiliza show ukiwa wapi na kumbukumbu yako ni gani? #DriveOnReloaded / Tina Ogal @abdimunai

Matumaini yetu kwamba umekuwa na siku njema yenye fanaka na karibu kwenye Alhamisi ya mahojiano. Unasikiliza show ukiwa wapi na kumbukumbu yako ni gani?
#DriveOnReloaded / Tina Ogal @abdimunai
Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Karibu ndani ya #DriveOnReloaded na leo hii @abdimunai amesema yakwamba hatishiki.Unatupata ukiwa wapi? Kadot @abdimunai #DriveOnReloaded #RadioNumberOne

Karibu ndani ya #DriveOnReloaded na leo hii  @abdimunai amesema yakwamba hatishiki.Unatupata ukiwa wapi?
Kadot @abdimunai

#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne
Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Swala Kuu: Ni miezi tatu tangu mke wangu ajifungue na anasema anataka kurudia maisha yake ya awali ya "sherehe" je,ni mapema sana ama ako sawa? Kadot @abdimunai #DriveOnReloaded #RadioNumberOne

Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Swala Kuu: Mke wangu anadai yakwamba lazima watu wangu wapige simu kwanza ili waje kututembelea je, ni sawa? #DriveOnReloaded #RadioNumberOne

Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

County ya Nairobi yajipanga kununua mashua (boat) zitakazo saidia wakati wa Elnino.Unakubaliana? #DriveOnReloaded #RadioNumberOne