
Abdul Nondo ๐น๐ฟ
@abdulnondo2
National Chairperson -ACT Wazalendo Youth League.
Am a Novus Homo.
ID: 908058232484233219
13-09-2017 20:02:08
26,26K Tweet
125,125K Followers
2,2K Following

Happy Birthday Dada angu shupavu Rachel Kimambo Mungu akupe maisha marefu yenye Afya na Mafanikio.



Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Katibu wa Idara ya Fedha ya ACTWazalendo, Ndugu Rachel Kimambo. Tunamtakia umri mrefu, afya njema na mafanikio katika shughuli zake za kila siku.๐๐ฟ


Heri ya kuzaliwa Katibu wa Fedha wa chama chetu ACTWazalendo na Kijana mpambanaji (Hardworking),mwenye kadi namba moja ya Ngome ya Vijana,mchapakazi,muelevu ,mcheshi,mwenye upendo na nidhamu kwa kila mtu.Madam Rachel Kimambo.Mungu akupe afya njema na umri mrefu wenye mafanikio.


Abdul Nondo ๐น๐ฟ ACTWazalendo Rachel Kimambo Happy birthday our own Rachel Kimambo long live Mhe.




Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Ndugu Janeth Rithe amemteua Ndugu Glory Tausi kuwa Naibu Mwenezi wa Ngome ya Wanawake Taifa. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo


Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Ndugu Janeth Rithe amemteua Ndugu Glory Tausi kuwa Naibu Mwenezi wa Ngome ya Wanawake Taifa. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo








Kesho 27/7/2025 Daresalam itaitika Mwenyekiti wa Ngome ya vijana_Official Taifa ndugu Abdul Nondo ๐น๐ฟ atakuwa Mgeni Rasmin kwenye mkutano wa hadhara utakaofanyika kata ya Vingunguti Jimbo la Segerea.
