Masta (@abuyamasta) 's Twitter Profile
Masta

@abuyamasta

Father of 4||For business call/WhatsApp: 0726594744

ID: 1453444983953006596

calendar_today27-10-2021 19:34:37

246,246K Tweet

54,54K Followers

1,1K Following

Masta (@abuyamasta) 's Twitter Profile Photo

Nimepitia like 100 tweets na sijaona yenye mtu amesema ako cbd, kwani leo nyinyi wote mna tweet hakuna kuenda maandamano?

Masta (@abuyamasta) 's Twitter Profile Photo

Maandamano iki flop huwa mnakuja hapa kusema vile mumemfanya akae mjinga. Ati mnapanga halafu mnakosa kutokea, no he has outsmarted you all,...halafu ujue hawa ndio same people hutusi watu wakiuliza iyo Saba Saba watu wanaandamana kuhusu nini?

Masta (@abuyamasta) 's Twitter Profile Photo

Kisumu to State House is 346kms, Kilimani/kileleshwa to State House is less than 3km but you blame watu wa kisumu mbona hawajaenda maandamano yet kuna watu hapo within wanaweza maliza iyo kazi.

Austin Tunoi (@austin_tunoi) 's Twitter Profile Photo

Someone has said the movement refused to evolve and it's now hurting the common mwananchi it proclaimed to represent. I somehow agree with this statement. It's good sometimes kuskia contrary opinion.

Masta (@abuyamasta) 's Twitter Profile Photo

Why loot set it on fire? Hawa ni fellow business competitors wamefanya ivo. Wezi tu wangeiba wawache kesho pia wakuje kuiba but hii ni ku eliminate competition in that area

Masta (@abuyamasta) 's Twitter Profile Photo

Under this regime we experienced goons assisting police to counter the demonstrators, kwani how dirty is this man?, or how defeated is our police force until they hire goons to assist them?

Masta (@abuyamasta) 's Twitter Profile Photo

Emotional retards wanasema wana sabotage economy ndio Ruto a feel, like do you know you hakui affected na iyo economic sabotage yako? Mwenye anaumia ni mimi na wewe, Ruto hakuna siku atawai lala njaa but mimi na wewe tutalala njaa tukiendelea ku sabotage our economy.

Kate 💦😍 (@misslingard14) 's Twitter Profile Photo

Before you sleep I want to remind you that Protests Won't Remove that Man From the Seat, instead we will continue Losing very many Lives Day By Day .

Masta (@abuyamasta) 's Twitter Profile Photo

Wakikuja pigia William umwambie ivi, "hello William, si unajua ni mimi nilikupigia kura 2022 na bado ni mimi nilikupigia campaign using comedy kama nimevaa jaget ya brown, ee mtoto wetu ambia hawa watu wanikamatuke"