Ahmed Ally (@ahmed__ally) 's Twitter Profile
Ahmed Ally

@ahmed__ally

Media & Communication Manager Simba Sports

ID: 1478356854514270208

calendar_today04-01-2022 13:25:32

1,1K Tweet

722,722K Followers

13 Following

Ahmed Ally (@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

1. Kikosi chetu kinataraji kusafiri kesho Alfajiri May 13 2. Tiketi zimeanza kuuzwa hii leo Platinum 250,000 Special VIP 100,000 VIP B 30,000 VIP C 20,000 Mzunguko 7,000 3. Eneo la VIP A halitauzwa kwa sababu ya Wageni wa CAF 4. Kauli mbiu yetu ni TUNABEBA 5. May 25 Wote

1. Kikosi chetu kinataraji kusafiri kesho Alfajiri May 13

2. Tiketi zimeanza kuuzwa hii leo
Platinum 250,000
Special VIP 100,000
VIP B 30,000
VIP C 20,000
Mzunguko 7,000

3. Eneo la VIP A halitauzwa kwa sababu ya Wageni wa CAF
4. Kauli mbiu yetu ni TUNABEBA
5. May 25 Wote
Ahmed Ally (@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Toyota Land Cruiser Prado 2016 Imewasili na imekabidhiwa kwa Mteja wetu Automedali Tz Limited Tunazidi kuliteka soko la Magari Tanzania na tunazidi kuaminika na Watanzania Karibu uagize nasi ofisi zetu zipo Dar Free Market au tupigie kwa #0748898888

Toyota Land Cruiser Prado 2016 Imewasili na imekabidhiwa kwa Mteja wetu

<a href="/medalimotors/">Automedali Tz Limited</a> Tunazidi kuliteka soko la Magari Tanzania na tunazidi kuaminika na Watanzania

Karibu uagize nasi ofisi zetu zipo Dar Free Market au tupigie kwa #0748898888
Ahmed Ally (@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Mmeanza kujitekenya kuhusu Volcano Elie Mpanzu Eti yupo kwa Mkopo wa miezi 6 mara As Vita imeshamuuza kwa klabu nyingine Sisi tushapita level za kuchukua mchezaji kwa Mkopo tena wa miezi 6 Acheni kujisumbua tunajua mmeshaenda Congo kuulizia upatikanaji wake Epuka Matapeli

Mmeanza kujitekenya kuhusu Volcano Elie Mpanzu 

Eti yupo kwa Mkopo wa miezi 6 mara As Vita imeshamuuza kwa klabu nyingine 

Sisi tushapita level za kuchukua mchezaji kwa Mkopo tena wa miezi 6 

Acheni kujisumbua tunajua mmeshaenda Congo kuulizia upatikanaji wake 

Epuka Matapeli
Ahmed Ally (@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea mchezo wa Fainali tutakuletea simulizi za Wachezaji wa zamani waliocheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika 1993 Leo tumeanza na Mohammed Mwameja nahodha wa kikosi cha Simba mwaka 93, Interview ipoo kwenye Simba App na Youtube Channel ya Simba Sc Tanzania

Ahmed Ally (@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Habari za Jumatatu Wana Simba wenzangu Nafahamu wengi wetu tupo kwenye sintofahamu ya Uwanja wa mechi yetu ya marudiano Taarifa tuliyotoa awali ni kuwa klabu itatoa taarifa rasmi baada ya mchezo wetu wa kwanza kule Morocco Viongozi wetu wa mamlaka zote wanapambana kuhakikisha

Habari za Jumatatu Wana Simba wenzangu

Nafahamu wengi wetu tupo kwenye sintofahamu ya Uwanja wa mechi yetu ya marudiano 

Taarifa tuliyotoa awali ni kuwa klabu itatoa taarifa rasmi baada ya mchezo wetu wa kwanza kule Morocco

Viongozi wetu wa mamlaka zote wanapambana kuhakikisha
Ahmed Ally (@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Press ya leo… 1. Mchakato wote kununua Tiketi unaanza upya, Wale wote walionunua mwanzo, Tiketi zao watazitumia Simba Day 2. Kikosi cha Simba kinaondoka kesho kuelekea Zanzibar 3. Simba tuna uwezo wa kushinda Uwanja wowote ule 4. Sare yetu Jumapili ni nyekundu 5. Tiketi za

Press ya leo…

1. Mchakato wote kununua Tiketi unaanza upya, Wale wote walionunua mwanzo, Tiketi zao watazitumia Simba Day

2. Kikosi cha Simba kinaondoka kesho kuelekea Zanzibar

3. Simba tuna uwezo wa kushinda Uwanja wowote ule

4. Sare yetu Jumapili ni nyekundu 

5. Tiketi za
Ahmed Ally (@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Jumamosi hii iwe Njema kwetu Wana Simba🦁🦁 Leo tuna mchezo muhimu na mgumu sana lakini kwa mapenzi yake Mungu tutashinda!! Ujumbe wangu kwa Wana Simba watakaoingia Uwanja wa Kwaraa kuishangilia Simba yetu tudumishe amani, uuungwana na ustaarabu wenyewe kwa wenyewe na kwa

Jumamosi hii iwe Njema kwetu Wana Simba🦁🦁

Leo tuna mchezo muhimu na mgumu sana lakini kwa mapenzi yake Mungu tutashinda!!

Ujumbe wangu kwa Wana Simba watakaoingia Uwanja wa Kwaraa kuishangilia Simba yetu tudumishe amani, uuungwana na ustaarabu wenyewe kwa wenyewe na kwa
Ahmed Ally (@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Ilihitaji tuwe na Wachezaji wanaotumia mashine ya umeme kucheza vizuri mchezo wa leo, Kwa Binadamu wa kawaida Wachezaji wetu wamefanya kila kitu kwa kutumia nguvu zao za kawaida lakini imeshindikana Mechi tatu ndani ya siku Saba ikiwemo Fainali ya CAF tena mikoa mitatu tofauti

Ilihitaji tuwe na Wachezaji wanaotumia mashine ya umeme kucheza vizuri mchezo wa leo, Kwa Binadamu wa kawaida Wachezaji wetu wamefanya kila kitu kwa kutumia nguvu zao za kawaida lakini imeshindikana

Mechi tatu ndani ya siku Saba ikiwemo Fainali ya CAF tena mikoa mitatu tofauti
Ahmed Ally (@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Ubingwa wa PSG kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya na Pyramids kwenye Ligi ya mabingwa Afrika ndio mapito ya Simba Sports Club Mwaka 2011 PSG ilininunuliwa na Qatar Sports Investments kwa hisa za asilimia 87.5 baada ya hapo Tajiri amejaribu kutawala soka la Ulaya lakini hakufanikiwa

Ubingwa wa PSG kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya na Pyramids kwenye Ligi ya mabingwa Afrika ndio mapito ya Simba Sports Club 

Mwaka 2011 PSG ilininunuliwa na Qatar Sports Investments kwa hisa za asilimia 87.5 baada ya hapo Tajiri amejaribu kutawala soka la Ulaya lakini hakufanikiwa
Ahmed Ally (@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Toyota Rav 4 2006 Maarufu Miss Tanzania imekabidhiwa kwa Mteja kutoka Njombe aliyeagiza na kampuni yetu Automedali Tz Limited Gari kama hii unaipata kwa bei nafuu kutoka Automedali Tz Limited Ofisi zetu zipo Dsm katika Jengo la Dar Free Market au tupigie kwa namba #0748898888 Tunaagiza

Toyota Rav 4 2006 Maarufu Miss Tanzania imekabidhiwa kwa Mteja kutoka Njombe aliyeagiza na kampuni yetu <a href="/medalimotors/">Automedali Tz Limited</a> 

Gari kama hii unaipata kwa bei nafuu kutoka <a href="/medalimotors/">Automedali Tz Limited</a> 

Ofisi zetu zipo Dsm katika Jengo la Dar Free Market au tupigie kwa namba #0748898888

Tunaagiza