Ahmed Asas (@ahmedsalimasas) 's Twitter Profile
Ahmed Asas

@ahmedsalimasas

ID: 576983208

linkhttp://www.asasgrouptz.com calendar_today11-05-2012 06:33:25

10,10K Tweet

29,29K Followers

1,1K Following

Ahmed Asas (@ahmedsalimasas) 's Twitter Profile Photo

Reminder: Do not add negativity to the first and last days of Ramadhan by arguing about when it starts/ends. You'r not about to end a 1000 year old debate. Many smarter and more blessed have tried. Instead, focus on the obligations.

Ahmed Asas (@ahmedsalimasas) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu amekuwa na mchango muhimu katika kuendeleza sekta ya ufugaji nchini Tanzania. Akitambua kwamba sekta hii ni muhimu kwa uchumi wa nchi na ustawi wa jamii za wafugaji, ameweka mikakati mbalimbali inayolenga kuboresha usimamizi wa mifugo, huduma za afya za mifugo,

Rais <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> amekuwa na mchango muhimu katika kuendeleza sekta ya ufugaji nchini Tanzania. Akitambua kwamba sekta hii ni muhimu kwa uchumi wa nchi na ustawi wa jamii za wafugaji, ameweka mikakati mbalimbali inayolenga kuboresha usimamizi wa mifugo, huduma za afya za mifugo,
Ahmed Asas (@ahmedsalimasas) 's Twitter Profile Photo

At Asas, we believe in the power of quality feed and sustainable practices. Our commitment to excellence starts with properly managed silage, ensuring our dairy herds receive the best nutrition throughout the year. By harnessing the goodness of nature, we're dedicated to

Ahmed Asas (@ahmedsalimasas) 's Twitter Profile Photo

With the arrival of another group of superior Holstein cows from South Africa, supplied by AfriFarm Tanzania’s leading livestock supplier Asas Dairies Ltd. in Iringa now holds the distinction of maintaining the largest Holstein herd in the country. This milestone highlights the

Ahmed Asas (@ahmedsalimasas) 's Twitter Profile Photo

Inategemeana na lengo lako Mbuzi aina gani wa nyama, maziwa, au mbegu. Uwe na zizi la kisasa.Tengeneza sehemu tofauti kwa ajili ya kula na kulala. Lishe bora kama Majani ya miti (Leucaena, Calliandra), pumba, mashudu, na madini. Maji masafi ya kunywa. Faida ya zero grazing

Ahmed Asas (@ahmedsalimasas) 's Twitter Profile Photo

Nimeona wengi mnaulizia kuhusu mbuzi wa maziwa ndiyo kabisa wapo! Kuna aina kama Saanen, Alpine na Toggenburg wanaofugwa mahsusi kwa maziwa.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Habemus Papam! Pongezi za dhati kwa Kardinali Robert Francis Prevost, Papa Leo XIV kwa kuchaguliwa kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani. Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninakutakia kila la kheri katika utumishi wako kwa Kanisa na Dunia

Habemus Papam!

Pongezi za dhati kwa Kardinali Robert Francis Prevost, Papa Leo XIV kwa kuchaguliwa kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani. 

Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninakutakia kila la kheri katika utumishi wako kwa Kanisa na Dunia
Ahmed Asas (@ahmedsalimasas) 's Twitter Profile Photo

Leo ilikuwa Jumapili ya baraka kukutana na viongozi wa dini. Nawashukuru kwa muda wao na maombi yao. Nawatakia nyote wiki njema iliyojaa amani na mafanikio.

Leo ilikuwa Jumapili ya baraka kukutana na viongozi wa dini. Nawashukuru kwa muda wao na maombi yao. Nawatakia nyote wiki njema iliyojaa amani na mafanikio.
Bunge la Tanzania (@bunge_tz) 's Twitter Profile Photo

Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Kampuni ya Asas Diaries Iringa, Ndg. Ahmed Salim Abri alipomtembelea leo tarehe 14 Mei, 2025 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Kampuni ya Asas Diaries Iringa, Ndg. Ahmed Salim Abri alipomtembelea leo tarehe 14 Mei, 2025 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Ahmed Asas (@ahmedsalimasas) 's Twitter Profile Photo

Petredec - ASAS launches landmark Tanga LPG Terminal to expand clean energy access across East Africa | Daily Nation nation.africa/africa/news/pe…

Ahmed Asas (@ahmedsalimasas) 's Twitter Profile Photo

Jumatatu yenye baraka kukutana na Mhashamu Baba Askofu Romanus Elamu Mihali, wa Jimbo Kuu Katoliki la Iringa. Furaha kubwa kukutana na kiongozi wa kiroho mwenye hekima, unyenyekevu na moyo wa Upendo.

Jumatatu yenye baraka kukutana na Mhashamu Baba Askofu Romanus Elamu Mihali, wa Jimbo Kuu Katoliki la Iringa. Furaha kubwa kukutana na kiongozi wa kiroho mwenye hekima, unyenyekevu na moyo wa Upendo.