Allan (@allanmzalendo) 's Twitter Profile
Allan

@allanmzalendo

Mzalendo na Mtanzania halisi

ID: 3431730197

calendar_today19-08-2015 16:59:45

469,469K Tweet

40,40K Followers

31,31K Following

La Via Campesina (Official EN) (@via_campesina) 's Twitter Profile Photo

At the center of this dangerous moment stands the #SumoudConvoyโ€” a powerful act of grassroots international solidarity, launched from Tunisia and en route to Rafah.#BreakTheSiegeOnGaza #Caravane_Soumoud viacampesina.org/en/2025/06/la-โ€ฆ

๐— ๐—ฟ ๐˜€๐—ถ๐˜†๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ผ (@mrsiyengo) 's Twitter Profile Photo

MfahaM: ๐—•๐—˜๐—ก ๐—–๐—”๐—ฅ๐—ฆ๐—ข๐—ก Daktari Mashuhuri wa upasuaji wa ubongo Ambaye alipata umaarufu duniani kwa upasuaji wa mafanikio wa Mapacha walioungana. Pia ni Mwandishi wa vitabu na aliwahi kuwa Waziri wa Makazi na Maendeleo ya Miji nchini Marekani. โ€” THREAD ๐Ÿงต๐Ÿงต โฌ‡๏ธ

MfahaM: ๐—•๐—˜๐—ก ๐—–๐—”๐—ฅ๐—ฆ๐—ข๐—ก

Daktari Mashuhuri wa upasuaji wa ubongo Ambaye alipata umaarufu duniani kwa upasuaji wa mafanikio wa Mapacha walioungana. 

Pia ni Mwandishi wa vitabu na aliwahi kuwa Waziri wa Makazi na Maendeleo ya Miji nchini Marekani.

โ€” THREAD ๐Ÿงต๐Ÿงต โฌ‡๏ธ
Paul Bonaventure (@phbhimself) 's Twitter Profile Photo

Mnadhani ni Afrika tu? Ngoja nikwambie stori moja hivi ya hivi karibuni. Ni kuhusu tajiri, Jack Ma, Tajiri namba moja nchini China anayemiliki biashara nyingi ikiwemo Alibaba (Duka la mitandaoni). Kuna siku huyu jamaa aliichallenge China chini ya rais Xi Jinping. Alichallenge

Mnadhani ni Afrika tu? 

Ngoja nikwambie stori moja hivi ya hivi karibuni.

Ni kuhusu tajiri, Jack Ma, Tajiri namba moja nchini China anayemiliki biashara nyingi ikiwemo Alibaba (Duka la mitandaoni).

Kuna siku huyu jamaa aliichallenge China chini ya rais Xi Jinping. Alichallenge
TheProtรฉgรฉTZ (@giboretz) 's Twitter Profile Photo

MAKABILA YENYE MUONEKANO WA AJABU DUNIANI Kila genetics ina upekee wake, ipi kati ya hizi ambayo imekuvutia zaidi? Kuanzia kabila lenye vidole viwili vya miguu hadi rangi nyeuse wenye nywele za rangi ya dhahabu, shuka nao๐Ÿงต

MAKABILA YENYE MUONEKANO WA AJABU DUNIANI

Kila genetics ina upekee wake, ipi kati ya hizi ambayo imekuvutia zaidi?

Kuanzia kabila lenye vidole viwili vya miguu hadi rangi nyeuse wenye nywele za rangi ya dhahabu, shuka nao๐Ÿงต
AFRICAN & BLACK HISTORY (@africanarchives) 's Twitter Profile Photo

Meet Anna Murray Douglass, first wife to Frederick Douglass. Anna helped Frederick escape enslavement. Anna was the first of her siblings to be born free after her parents were manumitted. When she met Frederick she was financially prepared to start a life with him but first, he

๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Messy na Maarufu: Hadithi ya Mwanamfalme wa Saudi โ€œAliyelalaโ€ kwa Miaka 20. Mwaka 2005, maisha yalikuwa kawaida kwa wengi wetu. Lakini kwa Prince Al-Waleed bin Khaled bin Talal, huo ndio mwaka uliomgeuzia maisha kabisa. THREAD:๐Ÿ‘‡

Messy na Maarufu: Hadithi ya Mwanamfalme wa Saudi โ€œAliyelalaโ€ kwa Miaka 20.

Mwaka 2005, maisha yalikuwa kawaida kwa wengi wetu.

Lakini kwa Prince Al-Waleed bin Khaled bin Talal, huo ndio mwaka uliomgeuzia maisha kabisa.

THREAD:๐Ÿ‘‡
Barack Obama (@barackobama) 's Twitter Profile Photo

Thirteen years ago, my administration acted to protect young people who were American in every single way but one: on paper.ย  DACA was an example of how we can be a nation of immigrants and a nation of laws. And itโ€™s an example worth remembering today, when families with similar

Portraits of Saints (@saintportraits) 's Twitter Profile Photo

St. John Francis Regis, pray for us.ย  A Jesuit priest, who ministered to the faithful suffering from civil strife between Catholics & Calvinists. He was a great missionary & preacher, who gave plain-spoken sermons that attracted & converted people of all faiths throughout France.

Taifa Leo (@taifa_leo) 's Twitter Profile Photo

Ruto alivyojikaanga kwa ahadi ya kukomesha utekaji nyara, mauaji Alifuta kazi aliyekuwa mkuu wa DCI George Kinoti kwa madai ya kuwa na kikosi cha siri cha kutekeleza mauaji; ni dhahiri sasa serikali yake ina kikosi kama hicho Soma zaidi: zurl.co/glSeF

Ruto alivyojikaanga kwa ahadi ya kukomesha utekaji nyara, mauaji 

Alifuta kazi aliyekuwa mkuu wa DCI George Kinoti kwa madai ya kuwa na kikosi cha siri cha kutekeleza mauaji; ni dhahiri sasa serikali yake ina kikosi kama hicho

Soma zaidi:  zurl.co/glSeF
AFRICAN & BLACK HISTORY (@africanarchives) 's Twitter Profile Photo

June 15, 1963: 3 days after civil rights activist, Medgar Evers, was assassinated, his funeral is held at the Jackson, Mississippi Masonic Temple.

Medgar Evers was assassinated in the driveway outside of his home in Jackson, Mississippi, by avowed white supremacist Byron De La Beckwith who was convicted 30 years later.

Kinlop๐Ÿฆ… (@kinlop_) 's Twitter Profile Photo

Fahamu leo Biashara za kufanya hata kwa Mtaji wa elfu hamsini tu 50,000/na ukapata faida kubwa. 1. Kuuza protekta za simu 2. Earphones za simu 3. Usb za simu 4โ€ฆโ€ฆ Mfano, earphones zinauzwa kwa bei ya mia saba (700Tsh) tu jumla๐Ÿ”ฅ Protector nazo ni 500Tsh tu Chukua maelekezo๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ

Fahamu leo Biashara za kufanya hata kwa Mtaji wa elfu hamsini tu 50,000/na ukapata faida kubwa.

1. Kuuza protekta za simu
2. Earphones za simu
3. Usb za simu
4โ€ฆโ€ฆ

Mfano, earphones zinauzwa kwa bei ya mia saba (700Tsh) tu jumla๐Ÿ”ฅ

Protector nazo ni 500Tsh tu
Chukua maelekezo๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ
Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

Katikati ya Amerika yaani Amerika Kusini na Kaskazini kuna nchi inaitwa Guatemala. Wananchi hawa katika maombi yao ya kila siku laana huwa inaenda kwa Marekani. Katika kutafta tiba ya magonjwa ya Ngono Marekani ila wadunga Raia wa Guatemala sindano za kaswende na Gono. Hii

Katikati ya Amerika yaani Amerika Kusini na Kaskazini kuna nchi inaitwa Guatemala.

Wananchi hawa katika maombi yao ya kila siku laana huwa inaenda kwa Marekani.

Katika kutafta tiba ya magonjwa ya Ngono Marekani ila wadunga Raia wa Guatemala sindano za kaswende na Gono.

Hii