
Amani Masaule
@amanmasaule
ID: 1678111883784585216
09-07-2023 18:40:52
15 Tweet
33 Followers
306 Following

A special month for mental health awareness over the world. Tunasikiliza Platform.platform has a target to awake more people, educate and bring awareness on mental health issues through different sessions, meetings and movements. #MentalHealthAwarenessMonth #MentalHealthMatters



Ni Leo May 18 Hospitali ya Mirembe National Mental Health Hospital Kwa kushirikiana na Tunasikilizana Platform Tunasikiliza Platform Tumekuandalia "Mental Health Mentorship Program" Ni kuanzia Saa Tatu Asubuhi hii Theme: "Building mental and Health Champion"


Wiki hii katika #MHSpace Tunajadili kuhusu Uraibu wa mitandao na Michezo ya kubashiri (Digital and Gambling addiction) Unakosaje sasa? Tupo na Dr. Godwin Mwisomba KIPEPE π na Tunasikiliza Platform Alhamis 30 May 2024 saa 2 Usiku #AfyayaAkiliniAfya #MentalHealthSpace


Ni leo kuanzia saa 2 Usiku tutakuwa mubashara hapa kujadili mada hii muhimu sana, usikose mualike na mwingine. Tutakua na Dr.Damas A Mlaki Akielezea Kwa Kina Maada hii

