AMRI IFX (@amrisaly) 's Twitter Profile
AMRI IFX

@amrisaly

πŸ“„Professional forex trader | CEO & founder @IntelligenceFx πŸ‘‡Become a profitable trader

ID: 1099579963408371712

linkhttp://intelligenceforex.com calendar_today24-02-2019 08:01:07

4,4K Tweet

12,12K Followers

54 Following

AMRI IFX (@amrisaly) 's Twitter Profile Photo

Kuna wale watu ambao ukipost vitu wanavyokubaliana navyo wanaruka post zako, Ukipost vitu hawakubaliani navyo wanakuwa very aggressive kuku-attack, Hawa watu hawakuchukii hata kidogo, shida yao ni kwamba wana matatizo ya akili

AMRI IFX (@amrisaly) 's Twitter Profile Photo

Betting ni mbaya kwa uchumi wako, afya ya akili yako, kwa future yako na ni haram, Hopes, excitements and promises unazoziona they are not real, Kufanikiwa kwenye betting labda uwe muuza odds, uanzishe betting company, ufanye partnership na betting company/ uwe mtoa promo

Betting ni mbaya kwa uchumi wako, afya ya akili yako, kwa future yako na ni haram, 

Hopes, excitements and promises unazoziona they are not real, 

Kufanikiwa kwenye betting labda uwe muuza odds, uanzishe betting company, ufanye partnership na betting company/ uwe mtoa promo
AMRI IFX (@amrisaly) 's Twitter Profile Photo

Ulevi ni biggest red flag 🚩 Ni ngumu sana kwangu kushirikiana, kufanya long term business au kuajiri mlevi, Anytime mlevi anafanya blanda; alafu atakimbilia kumsingizia shetani au pombe, Hivi kijana timamu anakubali vipi kutumia kitu kinachomtoa kwenye consciousness yake?

AMRI IFX (@amrisaly) 's Twitter Profile Photo

As a gentleman ukiwa unaomba msaada au una propose biashara, Usiongelee na kukumbushia sana kuhusu favors za zamani ulizowahi kumpa mtu, Zungumzia zaidi mtu atafaidikaje kwako au kwenye proposal ya biashara iliyopo mezani, Hiyo ndio namna rahisi ya ku-WIN.

Allan Media πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@allanmediatz1) 's Twitter Profile Photo

My waiting is Over, I can't wait for the day in Arusha on 13July2025, I'll be so happy to see you AMRI IFX MIKE and intelligencefx out of screen so i'll see you LIVE speaking. i heve been waiting for this day so long , and i believe it's going to happen. God bless you.

My waiting is Over, I can't wait for the day in Arusha on 13July2025, I'll be so happy to see you <a href="/amrisaly/">AMRI IFX</a> <a href="/Mike_Dastan/">MIKE</a> and <a href="/intelligencefx/">intelligencefx</a>  out of screen so i'll see you LIVE speaking. i heve been waiting for this day so long , and i believe it's going to happen. God bless you.