๐€๐๐†๐Ž๐™๐€ (@angoza_zanzibar) 's Twitter Profile
๐€๐๐†๐Ž๐™๐€

@angoza_zanzibar

Association of Non - Governmental organization of Zanzibar is an outstanding National Umbrella Organization established and officially registered in 1993. #SDGs

ID: 894581388455944192

linkhttp://www.angoza.or.tz calendar_today07-08-2017 15:29:58

265 Tweet

224 Followers

44 Following

UNDP Tanzania (@undptz) 's Twitter Profile Photo

Partnering for goals:UNDP Tanzania rep in Znz Godfrey Nyamrunda had a productive mtng w/ ๐€๐๐†๐Ž๐™๐€ our CSO Advisory Platform members. We shared information, learned from each other& strengthened our working relations. UNDP Tanzania greatly value the work & contributions of CSOs in the country

Partnering for goals:<a href="/undptz/">UNDP Tanzania</a> rep in Znz <a href="/godnyam/">Godfrey Nyamrunda</a> had a productive mtng w/ <a href="/angoza_zanzibar/">๐€๐๐†๐Ž๐™๐€</a> our CSO Advisory Platform members. We shared information, learned from each other&amp; strengthened our working relations. <a href="/undptz/">UNDP Tanzania</a> greatly value the work &amp; contributions of CSOs in the country
Dr Ahmed Abdulla (@ahmedkherlid) 's Twitter Profile Photo

Nichukuwe fursa hii kwa dhati kabisa kuwapongeza sana Uongozi mzima wa #ZANGOF2023 kwa mashirikiano yenu yaliyotuwezesha kufanikisha Mkutano wetu wa Pili wa mwaka wa Asasi za Kiraia #ZANGOF2023 Zanzibar. Hongereni sana Kamati ya Maandalizi.

๐€๐๐†๐Ž๐™๐€ (@angoza_zanzibar) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“ข ๐—ก๐—ข๐—ง๐—œ๐—ฆ๐—œ ๐—ž๐—ช๐—” ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—–๐—›๐—”๐— ๐—” ๐—”๐— ๐—•๐—”๐—ข ๐—›๐—”๐—ช๐—”๐—๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฃ๐—” ๐— ๐—œ๐—”๐—ž๐—” ๐Ÿฏ ๐— ๐—™๐—จ๐—Ÿ๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ญ๐—ข

Kikao chaย  pamoja kati ya ANGOZAย  naย  wageni wetu kutoka shirika la ForumCiv kujadili maendeleo ya mradi wa SASA (SASA Programme) unaotekelezwaย  na ANGOZAย  chini ya ufadhili wa shirika la ForumCiv.Miss Winfred Nkatha ambae ni ofisa Miradi wa Forumciv akitoa Maelezo

Taarifa Muhimu: Tunaomba ushirikiano wenu wanachama kwa kujaza form ya Tathmini ipo hapo juu kwenye bio | DAKIKA 5 TU unamaliza kujaza.formlink.mwater.co/#/33ee8bc90c63โ€ฆ

Zanzibar Yatoa Wito kwa Hatua za Haraka za Kulinda Mazingira: Katika juhudi za kutetea haki ya kimazingira, jamii za Zanzibar zinatoa wito kwa serikali kuweka sheria kali dhidi ya uchafuzi wa mazingira na kuimarisha uhamasishaji wa umma juu ya Climate Justice

"ANGOZA na Baraza la Vijana Zanzibar wameazimia kushirikiana kwa karibu ili kuwaunganisha Vijana na fursa za kiuchumi, kijamii na kisiasa. Ushirikiano huu utatoa nafasi kwa Vijana kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya Taifa. #Vijana #Maendeleo #Ushirikiano

"ANGOZA na Baraza la Vijana Zanzibar wameazimia kushirikiana kwa karibu ili kuwaunganisha Vijana na fursa za kiuchumi, kijamii na kisiasa. Ushirikiano huu utatoa nafasi kwa Vijana kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya Taifa. #Vijana #Maendeleo #Ushirikiano #ZanzibarMpya

๐Ÿ“ Pemba na Unguja ๐Ÿ”Ž Kamati za mazingira Zanzibar zimepewa mafunzo maalum ya haki za tabianchi ili kusaidia jamii kupambana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa! ๐ŸŒฑ๐ŸŒŠ #MazingiraNiUhai #ClimateJustice #PembaForGreen #ActNow #TabianchiNiHaki #ZanzibarForNature

๐Ÿ“ Pemba na Unguja 
๐Ÿ”Ž Kamati za mazingira Zanzibar zimepewa mafunzo maalum ya haki za tabianchi ili kusaidia jamii kupambana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa! ๐ŸŒฑ๐ŸŒŠ
#MazingiraNiUhai #ClimateJustice #PembaForGreen #ActNow #TabianchiNiHaki #ZanzibarForNature