Ardhi University (@aru_university) 's Twitter Profile
Ardhi University

@aru_university

ARU offers integrated training, research and public services in the fields of land management and built environment under one roof

ID: 1760228081321541632

linkhttp://www.aru.ac.tz calendar_today21-02-2024 09:01:48

36 Tweet

37 Followers

5 Following

Ardhi University (@aru_university) 's Twitter Profile Photo

On March 21st, 2024, Ardhi University celebrated "Global Surveyors' Day" hosted by the IST Young Surveyors' Network in collaboration with the Institution of Surveyors of Tanzania (IST). The theme was "Sustainable Land Surveying and Mapping for a Better Future."

On 25th March, 2024, Prof. James Mdoe - Deputy Permanent Secretary (MoEST) visited ARU HEET Project construction site. Prof. Mdoe commended the progress and expressed his desire for the completion of the project on time.

Viongozi wa Serikali ya wanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARUSO) wakati wa ziara yao katika mradi wa HEET chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Ziara ilifanyika tarehe 27 Machi, 24 ikilenga kujionea maendeleo ya ujenzi wa majengo manne yanayojengwa chini ya mradi huo.

Chuo Kikuu Ardhi kina furaha kutangaza ushiriki wake kwenye maonesho ya Nane Nane mkoani Dodoma. Tumejiandaa kufanya udahili wa hapo kwa papo kwa wanafunzi walio tayari kujiunga na Chuo chetu. 📍 Dodoma - 📅 1 – 8 Agosti 2024 #NaneNane2024 #ChuoKikuuArdhi #MaendeleoEndelevu

Chuo Kikuu Ardhi kina furaha kutangaza ushiriki wake kwenye maonesho ya Nane Nane mkoani Dodoma. Tumejiandaa kufanya udahili wa hapo kwa papo kwa wanafunzi walio tayari kujiunga na Chuo chetu.
📍 Dodoma - 📅 1 – 8 Agosti 2024
#NaneNane2024 #ChuoKikuuArdhi #MaendeleoEndelevu
Ardhi University (@aru_university) 's Twitter Profile Photo

Prof. Lughano Kusiluka, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma atembelea banda la Chuo Kikuu Ardhi #aru #udom #elimuyajuu #nanenane #dodoma #weledinaustawi

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania azindua jengo mtambuka la mafunzo lililosanifiwa na kusimamiwa na kampuni tanzu ya Chuo Kikuu Ardhi - ABECC kwa kushirikiana na Norplan (T) Limited. Jengo hilo lipo SUA, Morogoro. #ARU #SUA #ABECC #NORPLAN

Dkt. Hussein Mohamed Omar, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na aliyekua mwanafunzi wa miaka iliyopita wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU-ALUMNI) katika banda la ARU, viwanja vya 88 - Dodoma. #ARU #Kilimo #Dodoma #88 📍Dodoma

Dkt. Hussein Mohamed Omar, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na aliyekua mwanafunzi wa miaka iliyopita wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU-ALUMNI) katika banda la ARU, viwanja vya 88 - Dodoma. 

#ARU #Kilimo #Dodoma #88 
📍Dodoma
Ardhi University (@aru_university) 's Twitter Profile Photo

Baraza, Menejimenti na Watumishi wote wa Chuo Kikuu Ardhi, tunawatakia Watanzania wote heri ya Sikukuu ya Wakulima, Nane Nane. #dodoma #ARU #WELEDI #USTAWI #88 📍Dodoma

Baraza, Menejimenti na  Watumishi wote wa Chuo Kikuu Ardhi, tunawatakia Watanzania wote heri ya Sikukuu  ya Wakulima, Nane Nane.

#dodoma #ARU #WELEDI #USTAWI #88 

📍Dodoma