
assumpta massoi
@assumpta_massoi
A proud Tanzanian mother of two girls serving the community through @UN. #SDGKeeper #Hodophile .......Retweets not endorsements! 2K @unraf Alumni
ID: 165450827
http://news.un.org/sw 11-07-2010 16:17:25
6,6K Tweet
819 Followers
406 Following


Jifunze Kiswahili โUsitoboe siri!โ Asema mchambuzi wetu leo hii kutoka University of Nairobi akimulika methali. #ElimikaWikiendi #Kiswahili




. United Nations yaomboleza ๐๐ถ๐ณ๐ผ ๐ฐ๐ต๐ฎ ๐ฃ๐ฎ๐ฝ๐ฎ ๐๐ฟ๐ฎ๐ป๐ฐ๐ถ๐ Pope Leo XIV Katika ziara yake mwaka 2015 kwenye makao makuu ya UN๐บ๐ธ โPapa Francis alielewa kuwa kulinda nyumba yetu ya pamoja (Dunia) ni jukumu la maadili ya kina na ni wajibu wa kila mtu.โAntรณnio Guterres Katibu Mkuu wa United Nations


.United Nations yaomboleza ๐๐ถ๐ณ๐ผ ๐ฐ๐ต๐ฎ ๐ฃ๐ฎ๐ฝ๐ฎ ๐๐ฟ๐ฎ๐ป๐ฐ๐ถ๐ Pope Leo XIV "Ni kiongozi aliyedhihirisha unyenyekevu, huruma na amani. Alitetea maskini, akakubali mazungumzo, na akatutaka tutunze nyumba yetu ya pamoja." Amina J Mohammed Naibu Katibu Mkuu United Nations


.United Nations yaomboleza ๐๐ถ๐ณ๐ผ ๐ฐ๐ต๐ฎ ๐ฃ๐ฎ๐ฝ๐ฎ ๐๐ฟ๐ฎ๐ป๐ฐ๐ถ๐Pope Leo XIV โNinatuma rambirambi zangu za dhati kwa familia na marafiki wa Papa, kwa nchi yake #Argentina, na kwa Wakatoliki pamoja na watu wengine duniani waliovutiwa na maisha yake ya sala na utumishi.โ Philemon Yang UN GA President


.United Nations yaomboleza ๐๐ถ๐ณ๐ผ ๐ฐ๐ต๐ฎ ๐ฃ๐ฎ๐ฝ๐ฎ ๐๐ฟ๐ฎ๐ป๐ฐ๐ถ๐Pope Leo XIV "Nimesikitishwa sana na kifo cha Baba Mtakatifu Francis.Alikuwa sauti ya unyenyekevu lakini yenye nguvu ya hekima na ubinadamu.Ulimwengu wetu wenye matatizo unahitaji viongozi zaidi kama yeye"Tedros Adhanom Ghebreyesus Mkuu wa World Health Organization (WHO)


.United Nations yaomboleza ๐๐ถ๐ณ๐ผ ๐ฐ๐ต๐ฎ ๐ฃ๐ฎ๐ฝ๐ฎ ๐๐ฟ๐ฎ๐ป๐ฐ๐ถ๐ Pope Leo XIV โPapa Francis alikuwa mtetezi asiyechoka wa amani na mshirika wetu wa kudumu. Alitetea kwa moyo wote elimu na sayansi ili zichangie kuheshimu utu wa mwanadamu na kulinda mazingira.โAudrey Azoulay Mkuu wa UNESCO ๐๏ธ #Education #Sciences #Culture ๐บ๐ณ


Bendera mpya ya #Syria yapandishwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa #NewYork ๐Tofauti ni idadi ya โญ ๐Bendera mpya ina nyota โญโญโญhuku ile ya zamani ilikuwa na nyota โญโญ

Fahamu tofauti za watu hawa wawili na mchambuzi ni Onni Sigalla kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa - BAKITA #Kiswahili #ElimikaWikiendi

Mazishi ya Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, #PopeFrancis Papa Francis yanafanyika leo Jumamosi asubuhi huko Vatican, jijini Roma nchini #Italy na tayari Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antรณnio Guterres tayari yuko mjini humo kuhudhuria tukio hilo.


๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐Kinengunengu au kilelezi FAO in Tanzania ๐Mkutano wa #peacekeeping #Berlin Antรณnio Guterres ๐Huko #Gaza watoto wakumbwa na unyafuzi WHO in occupied Palestinian territory ๐ Ukata utokanao na kukatwa ufadhili watishia mustakabali wa wanawake na wasichana UN Women

Uhamishaji wa idadi kubwa ya watu wasio raia wa #Marekani katika miezi ya hivi karibuni, hasa kwa kuwapeleka katika nchi ambazo si za asili yao, umeibua wasiwasi mkubwa kuhusu haki za binadamu,Volker Tรผrk. news.un.org/sw/story/2025/โฆ

Mustakabali wa ulinzi wa amani umepewa kipaumbele leo #Berlin Ujerumani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antรณnio Guterres alipotoa wito kwa nchi wanachama kufanya juhudi zaidi kuunga mkono walinda amani #BlueHelmets na kuzuia athari mbaya zaidi za ukata. news.un.org/sw/story/2025/โฆ

Kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji, fahanu kilelezi cha vifaranga #brooder kitakusaidia kuongeza uzalishaji na tija. FAO in Tanzania

Kwingineko limezoeleka kuwa ni jina la mtu, lakini leo Mchambuzi wetu kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa - BAKITA anatupatia maana nyingine. #ElimikaWikiendi #Kiswahili

