
shangwe Ayo
@ayo_shangwe
Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma na Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora @ACTWazalendo
ID: 1579562120018120705
10-10-2022 19:59:05
37,37K Tweet
2,2K Followers
270 Following

Leo nimechukua uamuzi na kupiga hatua kubwa. Nimechukua fomu ya kugombea nafasi katika Bunge la Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania ili kuomba ridhaa ya chama changu ACT-Wazalendo (ACTWazalendo) kunipa nafasi ya kuwatumikia wananchi wa Jimbo la Lindi Mjini katika uchaguzi mkuu ujao.


āACT Wazalendo kimepokea tariff kuwa Jeshi la Polisi kupitia makamanda wa Polisi (ODCās) na maofisa wengine waandamizi wapolisi wameanza kufanya mawasiliano na viongozi wetu kuwataka kuwasilisha majina ya wagombea wa Ubunge na Udiwaniā Ado Shaibu, Katibu Mkuu wa ACTWazalendo



Aksante Mkinga. Operesheni Majimaji imetufikisha Mkoa wa Tanga. Mkoa wa Tanga unafaa kutumika kama ushahidi wa namna ā¦Chama Cha Mapinduziā© ilivyohujumu maendeleo ya Nchi yetu. Huku unakutana na magofu ya viwanda vilivyokuwa hai wakati nchi inapata uhuru . Leo ni magofu


Aksante Mkinga. Operesheni Majimaji imetufikisha Mkoa wa Tanga. Mkoa wa Tanga unafaa kutumika kama mfano wa namna Chama Cha Mapinduzi ilivyohujumu maendeleo ya Nchi yetu. Huku unakutana na magofu ya viwanda vilivyokuwa hai wakati nchi inapata uhuru . Leo ni magofu





Ismail Jussa, vice-chairperson (Zanzibar) of ACTWazalendo, writes about the elections and election-reform in Zanzibar and his experience in 2020. Mail & Guardian Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Othman Masoud Othman mg.co.za/thought-leaderā¦


#Zanzibar #Elections - A robust observation mission will enable future generations to look back on the 2025 election not as another chapter of frustration but instead as a turning point toward democratic commitment and enduring stability. Mail & Guardian mg.co.za/thought-leaderā¦

"Chama cha Mapinduzi. Hakitaki kusikia wala hakijafanya jitihada zozote kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na kuaminika. Sisi tunawaambia kuwa tumejipanga. Tunakwenda kwenye uchaguzi tukiwa na mikakati." Kiongozi wa ACTWazalendo Dorothy Semu Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi

"Aksante Mkinga. Operesheni Majimaji imetufikisha Mkoa wa Tanga. Mkoa wa Tanga unafaa kutumika kama mfano wa namna CCM ilivyohujumu maendeleo ya Nchi yetu. Huku unakutana na magofu ya viwanda vilivyokuwa hai wakati nchi inapata uhuru. Leo ni magofu" Isihaka Mchinjita Mkinga, Tanga.





5/5 Nimemsikia nyumbu mmoja wa vijana wa kutanua vidoleāļøakisema eti kijijini kwao hakuna mwanachama anayemjua wa ACTWazalendo! Hivi anaijua vizuri ACTWazalendo kweli yule? Anaijua vizuri ACTWazalendo? Chama hiki kiko kila mahali nchi hii, Bara na Zanzibar. OKTOBA #LindaKura



Uongozi unao acha alama Call her Dorothy Semu Kiongozi wa Chama na Mtia nia wa Kiti cha Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
