Azam TV (@azamtvtz) 's Twitter Profile
Azam TV

@azamtvtz

Watch your favorite shows on web.azamtvmax.com | 📞 +255784108000 | @AzamTVKenya, @Azamtv_MW, @azamtvzw, @azamtvRw, @Azamtv_ug

ID: 1629945110

linkhttp://azamtv.co.tz calendar_today29-07-2013 09:22:06

107,107K Tweet

1,5M Followers

186 Following

Azam TV (@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Serikali imetoa wito wa kuwepo kwa mkakati maalum wa kutoa elimu kwa wananchi wanaoishi maeneo ya mpakani wakati wa zoezi la uimarishaji mpaka kati ya Tanzania na Rwanda, ili kuepusha tafsiri potofu kuhusu mchakato huo. Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mkuu wa

Serikali imetoa wito wa kuwepo kwa mkakati maalum wa kutoa elimu kwa wananchi wanaoishi maeneo ya mpakani wakati wa zoezi la uimarishaji mpaka kati ya Tanzania na Rwanda, ili kuepusha tafsiri potofu kuhusu mchakato huo.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mkuu wa
Azam TV (@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MSHIKEMSHIKE: Dabi ya Kariakoo kupigwa Juni 15 Benjamin Mkapa. Unaona wachezaji gani waking’ara zaidi kwenye mechi hiyo? Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD #Mshikemshike

MSHIKEMSHIKE: Dabi ya Kariakoo kupigwa Juni 15 Benjamin Mkapa. Unaona wachezaji gani waking’ara zaidi kwenye mechi hiyo?

Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD

#Mshikemshike
Azam TV (@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MSHIKEMSHIKE: Kuelekea mchezo wa COSAFA kesho, Tanzania vs Eswatini, ungependa kikosi gani kianze kwenye mchezo huo? Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD #Mshikemshike

MSHIKEMSHIKE: Kuelekea mchezo wa COSAFA kesho, Tanzania vs Eswatini, ungependa kikosi gani kianze kwenye mchezo huo?

Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD

#Mshikemshike
Azam TV (@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MSHIKEMSHIKE: Baada ya Taifa Stars kuondoshwa kwenye michuano ya COSAFA licha ya kuichapa Eswatini. Umekionaje kiwango kuelekea CHAN 2024? Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD #Mshikemshike

MSHIKEMSHIKE: Baada ya Taifa Stars kuondoshwa kwenye michuano ya COSAFA licha ya kuichapa Eswatini. Umekionaje kiwango kuelekea CHAN 2024?

Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD

#Mshikemshike
Azam TV (@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MSHIKEMSHIKE: Serikali imewapongeza wawekezaji katika sekta ya michezo wakiwemo Azam Media, GSM na Mo Dewji. Je, unazungumziaje uwekezaji wao? Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD #Mshikemshike

MSHIKEMSHIKE: Serikali imewapongeza wawekezaji katika sekta ya michezo wakiwemo Azam Media, GSM na Mo Dewji.

Je, unazungumziaje uwekezaji wao?

Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD

#Mshikemshike
Azam TV (@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

#KariakooDerby: Wananchi wamenyakua mara 30 ubingwa wa Ligi Kuu (NBC Premier League) huku Mnyama Simba akibeba taji hilo mara 22. Nani kulibeba taji msimu huu…?? Dabi ya Kariakoo sasa kupigwa Juni 25, katika dimba la Benjamin Mkapa. Tutakuwa LIVE #azamSports1HD, saa 11:00

#KariakooDerby: Wananchi wamenyakua mara 30 ubingwa wa Ligi Kuu (NBC Premier League) huku Mnyama Simba akibeba taji hilo mara 22.

Nani kulibeba taji msimu huu…??

Dabi ya Kariakoo sasa kupigwa Juni 25, katika dimba la Benjamin Mkapa.

Tutakuwa LIVE #azamSports1HD, saa 11:00
Azam TV (@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MSHIKEMSHIKE: Ni rasmi Dabi ya Kariakoo itachezwa Juni 25, 2025. Je, nani atapata matokeo mazuri na kutwaa ubingwa wa msimu huu? Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #azamSports1HD #Mshikemshike

MSHIKEMSHIKE: Ni rasmi Dabi ya Kariakoo itachezwa Juni 25, 2025. Je, nani atapata matokeo mazuri na kutwaa ubingwa wa msimu huu?

Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #azamSports1HD

#Mshikemshike
AzamTV Kenya (@azamtvkenya) 's Twitter Profile Photo

#FIFAClubWorldCup Humbling scoreline by FC Bayern #FCBayern 0 : 0 #AucklandCityFC Reconnect now by dialing *309# to Watch the #FIFAClubWorldCup Live on Azam TV and AzamTV Max App.

#FIFAClubWorldCup
Humbling scoreline by FC Bayern
#FCBayern 0 : 0 #AucklandCityFC

Reconnect now by dialing *309# to Watch the #FIFAClubWorldCup Live on Azam TV and AzamTV Max App.
AzamTV Kenya (@azamtvkenya) 's Twitter Profile Photo

#FIFAClubWorldCup This team is unstoppable... #PSG 4 : 0 #AtleticoMadrid Recconect now by dialing *309# to Watch the #FIFAClubWorldCup Live on Azam TV and AzamTV Max App.

#FIFAClubWorldCup
This team is unstoppable...
#PSG 4 : 0 #AtleticoMadrid

Recconect now by dialing *309# to Watch the #FIFAClubWorldCup Live on Azam TV and AzamTV Max App.
Azam TV (@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MSHIKEMSHIKE: Kuelekea mechi za raundi ya 29 NBC Premier League; Je, unaliona chama lako likivuna alama tatu? Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike kuanzia saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD #Mshikemshike

MSHIKEMSHIKE: Kuelekea mechi za raundi ya 29 NBC Premier League; Je, unaliona chama lako likivuna alama tatu?

Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike kuanzia saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD

#Mshikemshike
Azam TV (@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

VITASA: Kiwashe mapema kisimbuzi chako cha #AzamTV….uhondo wa #Vitasa unarejea mwezi Julai. #Vitasa #UsikuWaVitasa

VITASA: Kiwashe mapema kisimbuzi chako cha #AzamTV….uhondo wa #Vitasa unarejea mwezi Julai.

#Vitasa #UsikuWaVitasa
Azamtv_ug (@azamtv_ug) 's Twitter Profile Photo

Leo Usiku Kwenye @FahariSeries Salome Na Jacob Sasa Waongea Lugha Moja, Anna Akubali Matokeo Yupo Radhi Kumuachia Caros Uwenyekiti Wa Kampuni, Huku Kambona Akimpa Habari Monica Kuhusu Kumjua Adui Yao. Unakosaje Hii... Leo Saa 1:00 Usiku @FahariSeries Inaendelea Ikiwa Ni

Azam TV (@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MSHIKEMSHIKE: Mechi za raundi ya 29 za NBC Premier League kupigwa kesho Juni 18, 2025. Je, ni mechi ipi itatoa idadi kubwa ya magoli? Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD #Mshikemshike

MSHIKEMSHIKE: Mechi za raundi ya 29 za NBC Premier League kupigwa kesho Juni 18, 2025. Je, ni mechi ipi itatoa idadi kubwa ya magoli?

Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD

#Mshikemshike
Bakhresa Group (@ofclbakhresagrp) 's Twitter Profile Photo

Bakhresa Group imeanza maadhimisho ya kutimiza miaka 50 tangu ilipoanzishwa mwaka 1975. Sambamba na hilo imezindua muonekano mpya wa unga wa Ngano Bora. Mgeni rasmi Dkt. Suleiman Serera - Naibu Katibu Mkuu Viwanda na Biashara ametoa pongezi na kuhimiza uchapakazi na ubunifu.