Abdul-Aziz Carter (@aziz_carter) 's Twitter Profile
Abdul-Aziz Carter

@aziz_carter

Cornerstone Leadership Academy Alumni & University of Dar es salaam Alumni

ID: 1527573493180682241

calendar_today20-05-2022 08:54:59

157,157K Tweet

1,1K Followers

7,7K Following

MTAWADA (@mtawada_tz) 's Twitter Profile Photo

We are happy to share that we participated the Winnie Mandela Cooperative School, hosted by Ushirika wa Wanawake Wavujajasho Manzese UWAWAMA from June 6th to 8th, 2025. We gained a chance to exchange experience, learn and connect. We, stand united in this struggle!

We are happy to share that we participated the Winnie Mandela Cooperative School, hosted by Ushirika wa Wanawake Wavujajasho Manzese <a href="/uwawama/">UWAWAMA</a> from June 6th to 8th, 2025.  We gained a chance to exchange experience, learn and connect. 

We, stand united in this struggle!
The Wall Street Journal (@wsj) 's Twitter Profile Photo

Tanzania’s first female president came to power as a renowned defender of human rights. She is clinging to it, critics say, by locking up and torturing those who stand in her way. on.wsj.com/3ZWu0Sa

Development Reimaginedā„¢ (@devreimagined) 's Twitter Profile Photo

Massive news today from Beijing: China just announced zero-tariff treatment for all African countries with diplomatic ties. This is not just symbolic. It's a structural shift in Africa–China trade relations. Let’s unpack why it matters and how we got here.šŸ‘‡šŸ¾

The Wall Street Journal (@wsj) 's Twitter Profile Photo

Tanzania’s first female president came to power as a renowned defender of human rights. She is clinging to it, critics say, by locking up and torturing those who stand in her way. on.wsj.com/3ToWKiE

Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Hadi kufikia Machi 2025, deni la Taifa lilifikia Sh107.7 trilioni kutoka Sh91.7 trilioni katika kipindi kama hicho mwaka 2024 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 14.9. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo ameyasema hayo leo Juni 12, 2025

Hadi kufikia Machi 2025, deni la Taifa lilifikia Sh107.7 trilioni kutoka Sh91.7 trilioni katika kipindi kama hicho mwaka 2024 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 14.9.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo ameyasema hayo leo Juni 12, 2025
Abdul-Aziz Carter (@aziz_carter) 's Twitter Profile Photo

Ilikua barabara ya kiwango cha Lami,Ipo karibu na bandari kavu & bodi ya mikopo ya Elimu ya Juu ( Temeke veterinary). Kuna malalamiko lukuki kuhusu hii barabara kutoka kwa wakazi wa maeneo haya na madereva. The Chanzo MwanzoTvPlus khalifa said #PALESTINE šŸ‡µšŸ‡ø ☭🌹 Thabit Jacob, PhD

MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA:UN YAITAKA TANZANIA KUSITISHA UTEKAJI WA WAPINZANI NA WANAHARAKATI Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa (UN) wameeleza wasiwasi mkubwa kuhusu kuongezeka kwa matukio ya utekaji wa lazima na mateso yanayowalenga wapinzani wa kisiasa, waandishi wa habari na

#TANZANIA:UN YAITAKA TANZANIA KUSITISHA UTEKAJI WA WAPINZANI NA WANAHARAKATI

Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa (UN) wameeleza wasiwasi mkubwa kuhusu kuongezeka kwa matukio ya utekaji wa lazima na mateso yanayowalenga wapinzani wa kisiasa, waandishi wa habari na
MwanzoTV (@mwanzotv) 's Twitter Profile Photo

#BREAKING UN HUMAN RIGHTS EXPERTS ALARMED BY ESCALATING PATTERN OF ENFORCED DISAPPEARANCES IN TANZANIA UN human rights experts have expressed serious concern over the rising cases of enforced disappearances and torture targeting political opponents, journalists and human rights

#BREAKING
UN HUMAN RIGHTS EXPERTS ALARMED BY ESCALATING PATTERN OF ENFORCED DISAPPEARANCES IN TANZANIA
UN human rights experts have expressed serious concern over the rising cases of enforced disappearances and torture targeting political opponents, journalists and human rights
WateteziTV (@watetezitv) 's Twitter Profile Photo

Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imetoa uamuzi katika kesi ya kikatiba ya Rufaa Na. 134 ya Mwaka 2022, iliyofunguliwa na mtetezi wa haki za binadamu, Wakili Onesmo Olengurumwa dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Rufaa hiyo ilisikilizwa mbele ya jopo la majaji watatu wa

Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imetoa uamuzi  katika kesi ya kikatiba ya Rufaa Na. 134 ya Mwaka 2022, iliyofunguliwa na mtetezi wa haki za binadamu, Wakili Onesmo Olengurumwa dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Rufaa hiyo ilisikilizwa mbele ya jopo la majaji watatu wa
Africa Urban Lab (@africaurbanlab) 's Twitter Profile Photo

Existing urban growth models are ill-suited for African cities because they don’t capture the many factors that affect development decisions. TI-City, an agent-based model developed by Felix Agyemang, simulates household and developer activities to better project urban growth.

Existing urban growth models are ill-suited for African cities because they don’t capture the many factors that affect development decisions.

TI-City, an agent-based model developed by <a href="/agyemangfelix/">Felix Agyemang</a>, simulates household and developer activities to better project urban growth.
LHRC (@humanrightstz) 's Twitter Profile Photo

Historic Ruling by the Court of Appeal declaring Section 4 of the Basic Rights and Duties Enforcement Act as amended by Act No.3/2020 unconstitutional. It is a win to acess to justice actors.

Historic Ruling by the Court of Appeal declaring Section 4 of the Basic Rights and Duties Enforcement Act as amended by Act No.3/2020 unconstitutional. It is a win to acess to justice actors.
MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imeagiza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuta vifungu vinne vya sheria vilivyokuwa vikiweka vikwazo mashauri ya kikatiba yenye maslahi ya umma. Mwaka 2020 bunge lilifanya merekebisho ya sheria mbalimbali pamoja na zile utekelezaji

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Mwigulu Nchemba, PhD Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Kiujumla pendekezo la kutoza WHT ya 10% kwenye mapato yaliyobaki (retained earnings ) linaweza kuwa na athari kubwa kwa kampuni ambazo zilikuwa na malengo ya muda mrefu ya uwekezaji. Nami nashauri liondolewe pamoja na Kukubaliana na Waziri sio double taxation

MTAWADA (@mtawada_tz) 's Twitter Profile Photo

Juni 14, 2025 tumeshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani (Kimkoa) katika viwanja vya shule ya Msingi Makuburi-Ubungo. Kaulimbiu; Mazingira Yetu na Tanzanian Ijayo; Tuwajibike Sasa, Dhibiti Matumizi ya Plastiki". Kwa taarifa zaidi tembelea @mtawada_tz Instagram

Juni 14, 2025 tumeshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani (Kimkoa) katika viwanja vya shule ya Msingi Makuburi-Ubungo. 
Kaulimbiu;  Mazingira Yetu na Tanzanian Ijayo; Tuwajibike Sasa, Dhibiti Matumizi ya Plastiki".
Kwa taarifa zaidi tembelea @mtawada_tz Instagram
Abdul-Aziz Carter (@aziz_carter) 's Twitter Profile Photo

IMF imeripoti kuwa uchumi wa Tanzania ulikua kwa 5.5% mwaka 2024 na unatarajiwa kukua kwa 6% mwaka 2025, ukuaji ambao ni wa juu kuliko wa Ulaya (Eurozone) unaotarajiwa kukua kwa 0.9% mwaka 2025 na Marekani 1.8% mwaka 2025. Tanzania ina kasi kubwa ya ukuaji wa uchumi kwa sasa.