𝐁𝐀𝐃𝐑𝐔 π‰π”πŒπ€ 𝐑𝐀𝐉𝐀𝐁𝐔 (@badrujumah) 's Twitter Profile
𝐁𝐀𝐃𝐑𝐔 π‰π”πŒπ€ 𝐑𝐀𝐉𝐀𝐁𝐔

@badrujumah

| UN Special Rapporteur for Youth |Youth Envoy to Commonwealth| UN Ambassador to #TZ | @Makerere University
| @RestlessDev |@aueuyouthvoices|
#WikiYaAzaki2024

ID: 551030991

linkhttp://thecommonwealth.org calendar_today11-04-2012 12:24:25

92,92K Tweet

21,21K Followers

10,10K Following

winharder_ (@winharder_) 's Twitter Profile Photo

#StanbicTapKibingwa imekamilika kwa kishindo. wateja waliotumia kadi za Visa wamejishindia zawadi kibao, ikiwemo gari jipya na safari ya kifahari kwenda Zanzibar. Stanbic Tanzania

#StanbicTapKibingwa imekamilika kwa kishindo.
wateja waliotumia kadi za Visa wamejishindia zawadi kibao, ikiwemo gari jipya na safari ya kifahari kwenda Zanzibar.
<a href="/StanbicBankTZ/">Stanbic Tanzania</a>
SANUKAnaCHAPO (@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Kumbe wenetu wa Stanbic Tanzania wamemzawadia mtu gari leo kwenye promotion ya Tap Kibingwa na mpo kimya , watu na ngekewa zao! Suzuki Fronx imepata mtu leo mapemaπŸš—πŸ”‘ #StanbicTapKibingwa

Kumbe wenetu wa <a href="/StanbicBankTZ/">Stanbic Tanzania</a> wamemzawadia mtu gari leo kwenye promotion ya Tap Kibingwa na mpo kimya , watu na ngekewa zao! 

 Suzuki Fronx imepata mtu leo mapemaπŸš—πŸ”‘
#StanbicTapKibingwa
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Leo mjini palikuwa hapatoshi! Zawadi nono kutoka Stanbic Tanzania iliwasha moto, ikamwangukia kibingwa aliye'tap' zaidi! Hii siyo bahati tu, ni #StanbicTapKibingwa

Leo mjini palikuwa hapatoshi! Zawadi nono kutoka <a href="/StanbicBankTZ/">Stanbic Tanzania</a> iliwasha moto, ikamwangukia kibingwa aliye'tap' zaidi! Hii siyo bahati tu, ni #StanbicTapKibingwa
𝐁𝐀𝐃𝐑𝐔 π‰π”πŒπ€ 𝐑𝐀𝐉𝐀𝐁𝐔 (@badrujumah) 's Twitter Profile Photo

Je umewahi kushinda kwa kutumia card yako ya Benki? Nakujuza sasa watu kibao wamekua wakipata zawadi kutokana na kutap na kadi zao na jana mtu ameondoka na ndinga kwa kadi ya @StanbiBankcTz. #StanbicTapKibingwa

Je umewahi kushinda kwa kutumia card yako ya Benki? 

Nakujuza sasa watu kibao wamekua wakipata zawadi kutokana na kutap na kadi zao na jana mtu ameondoka na ndinga kwa kadi ya @StanbiBankcTz.

#StanbicTapKibingwa
Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

June ni mwezi wa kuanza kupanga vacation Lushoto ni moja ya sehemu nzuri za kuvutia sana unaachaje kuja. Lipia bills na Simbanking ujishindie Harrier new model uje kupandisha milima na chuma yako bofya *150*03# maliza malipo yako #SwahibaNaWeweUmo

June ni mwezi wa kuanza kupanga vacation 

Lushoto ni moja ya sehemu nzuri za kuvutia sana unaachaje kuja.

Lipia bills na Simbanking ujishindie Harrier new model uje kupandisha milima na chuma yako bofya *150*03#
maliza malipo yako #SwahibaNaWeweUmo
Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile Photo

GF VEHICLES ASSEMBLERS Kiwanda cha kwanza Tanzania kinachohusika na uungaji wa magari kilichopo Kibaha, Mkoa wa Pwani Serikali inaendelea kuhakikisha mazingira mazuri kwa wawekezaji nchini yanapatika. #MamaAnafanikisha #TanzaniaYaSamia

GF VEHICLES  ASSEMBLERS

Kiwanda cha kwanza Tanzania kinachohusika na uungaji wa magari kilichopo Kibaha, Mkoa wa Pwani

Serikali inaendelea kuhakikisha mazingira mazuri kwa wawekezaji nchini yanapatika.

#MamaAnafanikisha 
#TanzaniaYaSamia
Abertus Paschal πŸ‡ΉπŸ‡Ώπ• (@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

πŸ“Dar es Salaam β–ͺ️BALOZI DKT NCHIMBI AKUTANA NA WAKUU WA VYOMBO VYA HABARI VYA CCM Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wakuu wa Idara wa Vyombo vya Habari vya CCM, wakiongozwa na Kaimu

πŸ“Dar es Salaam

β–ͺ️BALOZI DKT NCHIMBI AKUTANA NA WAKUU WA VYOMBO VYA HABARI VYA CCM

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wakuu wa Idara wa Vyombo vya Habari vya CCM, wakiongozwa na Kaimu
𝐁𝐀𝐃𝐑𝐔 π‰π”πŒπ€ 𝐑𝐀𝐉𝐀𝐁𝐔 (@badrujumah) 's Twitter Profile Photo

#SikilizaTogolani Ukichelewa kuamua, utaamuliwa,maamuzi ya wengine hayawezi kusimama kusubiri maamuzi yako hadi hapo utakapojisikia. Tambua katika maisha, uhuru wa maamuzi yako yanaishia pale maamuzi ya wengine yanapoanzia. Epuka kutengeneza foleni ya maamuzi. Amua kwa wakati