
Geoffrey Mwamburi (BEKI)
@bekimwamburi
Kenya’s Prolific Swahili Sports Commentator,Works at @RadioCitizenFM, IG instagram.com/beki_mwamburi/ FB facebook.com
ID: 823445358
http://www.radiocitizen.co.ke 14-09-2012 15:03:42
115,115K Tweet
82,82K Followers
3,3K Following



Kati ya Manchester United na Tottenham Hotspurs nani wakali ? Nani watashinda Europa league this season na watashinda na mabao ngapi #KarakanaYaSoka tunakuleta matangazo haya liive kutoka Taiwan Sports Club & Restaurant Narok. Hii si ya kukosa ! Mike Odhisss Geoffrey Mwamburi (BEKI)


Kati ya Manchester United na Tottenham Hotspurs nani wakali ? Nani watashinda Europa league this season na watashinda na mabao ngapi #KarakanaYaSoka tunakuletea matangazo haya liive kutoka Taiwan Sports Club & Restaurant Narok. Hii si ya kukosa ! Mike Odhisss Geoffrey Mwamburi (BEKI)


Loitoktok mko tayari? Jumapili hii 25th May 2025 kikosi kizima cha Radio Citizen kitatua KAG Church Kimana kuanzia saa tatu asubuhi! Njoo ukutane na watangazaji uwapendao wakiongozwa na Tina Ogal , @abdimunai Sally Mbeyu Geoffrey Mwamburi (BEKI) na MelodySinzore1 Usikose! #RadioNumberOne


| Fred Ng'etich anasema Ashe Oleng 😁🙏 Msafara huu unaongozwa na Mama Kanisa 😁 MelodySinzore1 na ndugu katika yesu Geoffrey Mwamburi (BEKI) unaelekea Loitoktok 🥳🎉 jumapili hii 25th May Njooni tushiriki pamoja kanisani KAG Kimana from 9:00AM #PambazukaMashinani #RadioNumberOne

Jumatano hii patachimbika Club Dondez Kisumu. #KarakanaYaSoka tunakuletea liiive matangazo kati ya Chelsea na Real Betis . Je, unadhani nani ataibuka mshindi na atashinda na mabao mangapi ? Geoffrey Mwamburi (BEKI) Mike Odhisss #KarakanaYaSoka #RadioNumberOne


Kisumu City ni zamu yenu sasa kutazama nasi fainali kati ya Chelsea na Real Betis. Je, unadhani Palmer atawasidia the blues kunyakua taji hili ? Njoo tutazame mechi hii pale Dondez Club Kisumu pamoja na Kikosi cha #KarakanaYaSoka Geoffrey Mwamburi (BEKI) Mike Odhisss #RadioNumberOne


Ile Luo night nilikuwa nawashow ni this Friday pale Expressway Lounge Entry ni free.., wewe njoo tu na pesa ya kuspend 😊😊 Musa Jakadala na Uncle Eddy watatumbuiza



Jumatano hii patachimbika Club Dondez Kisumu. #KarakanaYaSoka tunakuletea liiive matangazo kati ya Chelsea na Real Betis . Je, unadhani nani ataibuka mshindi na atashinda na mabao mangapi ? Geoffrey Mwamburi (BEKI) Mike Odhisss #KarakanaYaSoka #RadioNumberOne


Leo hii patachimbika Club Dondez Kisumu. #KarakanaYaSoka tunakuletea liiive matangazo kati ya Chelsea na Real Betis . Je, unadhani nani ataibuka mshindi na atashinda na mabao mangapi ? Mike Odhisss Geoffrey Mwamburi (BEKI) #KarakanaYaSoka #RadioNumberOne


Abagusii Mbuya Mure? Radio Citizen ikiongoza na Geoffrey Mwamburi (BEKI) na Mike Odhisss inakuja Liiivee ndani ya La Vella Lounge. 31st May 2025 ni Fainali ya Champions league! Ni PSG au Inter-Milan? Njoo tupate kandanda na Muziki liiive! Ukikosa Utachekwa! #KarakanaYaSoka #RadioNumberOne



Homa Bay is a traditional support base for the 21-time league champions Gor Mahia FC Ke and on Monday, they will be hosting AFC Leopards in the 97th #MashemejiDerby Tickets are available online only at tikiti.co.ke/e/derby


Alafu kumbukeni kwamba hii fainali ya Leo ya Uefa Champions League itaonyeshwa Live tena kwa Big screen pale Expressway Lounge Tafuta pesa Tu ya kuspend alafu ukule Raha😊

