
Biblia Husema 96.7fm
@bhusema
Kiswahili Gospel Radio 96.7 FM Nairobi,🇰🇪. LIVE CALL- 0722174200 bibliahusema.org HAPA NDIO FAHARI YA JAMII #YouthPatrol
ID: 2894300763
http://bibliahusema.org/listen-live 27-11-2014 07:44:31
166,166K Tweet
11,11K Followers
97 Following

HOSSANA MACHEO Usichoke kutenda wema Zaburi37:3-4 Mtumainie Mwenyezi-Mungu na kutenda mema, upate kuishi katika nchi na kuwa salama. Uitafute furaha yako kwa Mwenyezi-Mungu, naye atakujalia unayotamani moyoni youtube.com/watch?v=09CaZX… #Hossanamacheo Biblia Husema 96.7fm @VictoMandalaMC #Himizo


Hujambo Mwana #MixedFlavours na Karibu Kwenye #AfyaTuesdays na Esther Mwikali Shughuli yako ni gani leo msikilizaji na unaifanyia wapi? Tujuze SIMU/WHATSAPP:0722 174 200 SMS:21967


HOSSANA MACHEO:- Utasimama tena, usikate tamaa ...Mika 7:8... "Usifurahi juu yangu, Ee adui yangu; niangukapo, nitasimama tena; nikaapo gizani, BWANA atakuwa nuru kwangu..." youtube.com/watch?v=_U44Lz… #Hossanamacheo Biblia Husema 96.7fm @VictoMandalaMC #Himizo Lucy Nyaga Sir Wycliffe Bucachi Abu Webungo


Hujambo Mwana #MixedFlavours na karibu tuelimishane ndani ya #HekimaWednesdays na Esther Mwikali 2 Wathesalonike 3:2 tukaokolewe na watu wasio haki, wabaya; maana si wote walio na imani. Msikilizaji unapeperusha bendera ya BHB ukiwa wapi? Tujuze SIMU:07 22 174 200


HOSSANA MACHEO:- #tbt Happy TBT Wakolosai 3:23-24 Lolote mfanyalo, lifanyeni kwa moyo, kama kwa Bwana, wala si kwa wanadamu, mkijua ya kuwa mtapokea kwa Bwana ujira wa urithi. Mnamtumikia Bwana Kristo youtube.com/watch?v=MWZmT-… #Hossanamacheo Biblia Husema 96.7fm @VictoMandalaMC #Himizo #tbt


Hujambo Mwana #MixedFlavours, Leo ni ile siku ambayo huwa tunamsifu Mungu Kitbt ndani ya #SifaThursday na Esther Mwikali Warumi 10:13 kwa kuwa, Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka. Unarusha macho nyuma ukiwa wapi leo msikilizaji? Tujuze SIMU/WHATSAPP: 07 22 174 200


HOSSANA MACHEO:- Ni Furahidei ...Waefeso 6:2-3... “Waheshimu Baba na mama yako,” hii ndiyo amri ya kwanza ambayo imeongezewa ahadi, yaani, “Upate fanaka na kuishi miaka mingi duniani...” youtube.com/watch?v=a_7wB2… #Hossanamacheo Biblia Husema 96.7fm @VictoMandalaMC #Himizo


Hujambo Mwana #MixedFlavours na karibu Tuifunge Wiki Kistyle Kiplan ndani ya #ImaniFriday na Esther Mwikali Msikilizaji karibu ushiriki Himizo lako la ki imani leo SIMU/WHATSAPP: 07 22 174 200 SMS:21967


HOSSANA MACHEO:- Licha ya unayoyapitia, usiogope Isaya 41:10 Basi, usiogope, mimi nipo pamoja nawe. Usifadhaike, mimi ni Mungu wako. Nitakuimarisha na kukusaidia; nitakulinda kwa mkono wangu wa ushindi youtube.com/watch?v=Y5Fqz8… #Hossanamacheo Biblia Husema 96.7fm @VictoMandalaMC #HappyNewWeek


Wikendi yako ilikuwaje Msikilizaji? Hujambo na Karibu kwenye baraka ya wiki na Esther Mwikali Umefungulia wiki yako wapi Msikilizaji? Tujuze SIMU/WHATSAPP: 07 22 174 200


HOSSANA MACHEO:- Hakika kwa Mungu yote yawezekana; ...Mathayo 19:26... "Yesu akawakazia macho, akawaambia, Kwa wanadamu hilo haliwezekani; bali kwa Mungu yote yawezekana..." youtube.com/watch?v=ZmAmJM… #Hossanamacheo Biblia Husema 96.7fm @VictoMandalaMC #Himizo Lucy Nyaga Sir Wycliffe Bucachi Abu Webungo



HOSSANA MACHEO:- Wewe ni mbarikiwa, ...Yakobo 1:12... "Amebarikiwa mtu ambaye anavumilia majaribu, kwa sababu akisha stahimili atapewa taji ya uzima ambayo Mungu amewaahidi wale wampendao.." youtube.com/watch?v=rEkcd0… #Hossanamacheo Biblia Husema 96.7fm @VictoMandalaMC #Himizo Lucy Nyaga



Hujambo Mwana #MixedFlavours na karibu tuelimishane ndani ya #HekimaWednesdays na Esther Mwikali Msikilizaji unapeperusha bendera ya BHB ukiwa wapi? Tujuze SIMU:07 22 174 200
