BIMA YA AFYA KWA WOTE ๐น๐ฟ
@bima_afyatz
Karibu kwenye ukurasa rasmi wa elimu ya bima ya afya kwa wote.
Jiunge sasa na skimu mbalimbali za Bima ya Afya kabla ya kuugua ili uwe na uhakika wa matibabu.
ID: 1620388733680852995
31-01-2023 11:49:38
31 Tweet
322 Followers
6 Following

Fuatilia kurasa maalum za elimu ya bima ya afya kwa wote BIMA YA AFYA KWA WOTE ๐น๐ฟ kwenye mtandao wa Tweeter na Instagran ili uweze kupata elimu ya bima ya afya, kuuliza swali na kutoa maoni yako. Jiunge sasa na skimu mbalimbali za Bima ya Afya kabla ya kuugua ili uwe na uhakika wa matibabu

Fuatilia kurasa maalum za elimu ya bima ya afya kwa wote BIMA YA AFYA KWA WOTE ๐น๐ฟ kwenye mtandao wa Twitter na Instagram ili uweze kupata elimu ya bima ya afya, kuuliza swali na kutoa maoni yako. Jiunge sasa na skimu mbalimbali za Bima ya Afya kabla ya kuugua ili uwe na uhakika wa matibabu

Kadi ya bima ya afya NHIF ndio uhakika wako wa matibabu bila kikwazo cha fedha, jiunge kabla ya kuugua. Wizara ya Afya Tanzania ๐น๐ฟ Msemaji Mkuu wa Serikali #nhif #bima #bimayaafya #bimayaafyakwawote

Mkatie mtoto bima ya afya kupitia shule kwa Tsh. 50,400/= kwa mwaka ili kuwa na uhakika wa matibabu. BIMA YA AFYA KWA WOTE ๐น๐ฟ Wizara ya Afya Tanzania ๐น๐ฟ Msemaji Mkuu wa Serikali Ummy Mwalimu Dr Godwin .O.Mollel #Bima #bimakwawatoto #bimayaafyakwawote #nhiftz

TANGAZO KWA WANACHAMA Wizara ya Afya Tanzania ๐น๐ฟ Msemaji Mkuu wa Serikali BIMA YA AFYA KWA WOTE ๐น๐ฟ #nhiftz #bima #bimayaafyakwawote #bimayaafya