
Bongo FM
@bongotzfm
Dunia Mpya ๐
ID: 1748014508705288192
18-01-2024 16:09:16
106 Tweet
354 Followers
2 Following

Kwahiyo wanaume mmekubalianaje kuhusu kumsomesha mpenzi ambae bado hamjaoana? Maoni yako yanasomwa ndani ya Flyover ya @Bongo_FMtz โ๏ธ & ๐ธ Said Pichadunia


Tuambie unaweza kumvulimia mpenzi anaekoroma wakati amelala? Maoni yako yanasomwa ndani ya Flyover ya @Bongo_FMtz โ๏ธ & ๐ธ Said Pichadunia


Richard Slayman (62) kutoka Marekani amefanikiwa kupata figo mpya kutoka kwa nguruwe ambayo ilibadilishwa vinasaba ili kupunguza hatari ya kiungo hicho kukataa kufanya kazi. Je kwa upande wako unaweza kukubali kupandikizwa figo ya nguruwe? โ๏ธ & ๐ธ Said Pichadunia



"Tulijua itakuwa Mechi ngumu Simba imetengeneza nafasi nyingi kuliko sisi" Sabry Magdy Sabry Balozi wa Misri nchini Tanzania ๐ค @irene_kilango09 ๐ท @joh_creator97 Oscar Nickson Nkembo #BongoFM #duniampya #hatuachikitu #pikakijanja #hatuazabimkubwa



Tuambie unaona ni sawa mwanaume kulelewa na mwanamke? Maoni yako yanasomwa live ndani ya Kijora cha @Bongo_FMtz ๐ธ & โ๏ธSaid Pichadunia


Unadhani ni nini sababu ya kuonekana kuongezeka kwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume? Maoni yako yanasomwa live ndani ya Kijora cha @Bongo_FMtz ๐ธ & โ๏ธSaid Pichadunia




Eti, kwanini bado una namba ya Ex wako? Sikiliza Kipindi cha #KIJORA kila siku Jumatatu-Ijumaa Kuanzia saa 5:00-8:00 mchana hapa Bongo fm. Pia tufuatilie Kupitia mtandao wetu wa YOUTUBE ya Bongo FM kwa vipindi mbalimbali. ๐ธ Said Pichadunia






