Brian Ngailo (@brian_ngailo) 's Twitter Profile
Brian Ngailo

@brian_ngailo

Welcome To My Twitter/X Account | Medical Personnel🩺 | Entrepreneur | Psalm 17:6-7, In God I Trust.

ID: 1362623514608623617

linkhttps://www.instagram.com/brian_ngailo/ calendar_today19-02-2021 04:42:38

1,1K Tweet

3,3K Followers

3,3K Following

Brian Ngailo (@brian_ngailo) 's Twitter Profile Photo

Happy New Year 2025 To You All. Hakuna mtu katika ulimwengu huu ni msafi na mkamilifu. Ukiwaepuka watu kwa makosa yao, utabaki peke yako kwaiyo amua kidogo chuki na penda zaidi watu maisha ni mafupi sana. Thank you God for another chance, Dear God i'm putting 2025 in your hands.

Kwenye maisha jifunze kusema sawa bila kubisha, jifunze kuwa mpole bila kukasirika, jifunze kuondoka kwenye maisha ya watu bila chuki. Mungu atuongoze katika shughuri zetu za wiki hii nzima.

Kwenye maisha jifunze kusema sawa bila kubisha, jifunze kuwa mpole bila kukasirika, jifunze kuondoka kwenye maisha ya watu bila chuki.
Mungu atuongoze katika shughuri zetu za wiki hii nzima.
Brian Ngailo (@brian_ngailo) 's Twitter Profile Photo

BWANA, UTUPATIE NGUVU ZAKO SISI WADHAIFU: - Tunapokutana na matatizo, utujalie ujasiri wa kukabiliana nayo. BWANA UTUSIKIE🙏

Brian Ngailo (@brian_ngailo) 's Twitter Profile Photo

Kung'atwa na mbwa mara ya kwanza ni kosa la mbwa lakini kung'atwa na mbwa yule yule, sehemu ile ile kwa style ile ile hilo ni kosa lako mwenyewe.