Burna (@brnbhb) 's Twitter Profile
Burna

@brnbhb

💰

ID: 1550037854356738050

calendar_today21-07-2022 08:40:40

10,10K Tweet

4,4K Followers

384 Following

MR BEN (@eric__bernard) 's Twitter Profile Photo

Pamoja na changamoto hizi ndogo ndogo ila bado Rais Samia anabaki Rais wetu bora kuwahi kumpata na atashinda 2025 kwa kishindo!!

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Mimi naamini Mungu ni mmoja tu, ila kuna; -Ukristo -Uislam -Uyahudi -Bahai -Dini ya Kiasili ya Kichina -Ubuddha -Uhindu -Ushinto -Dini za kiasili za Kiafrika -Urastafari -Na kadhalika Wewe unahisi dini gani ina Mungu wa kweli?

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Ila madem sijui wana shida gani muda mwingine Nimekuja restaurant hapa kupata breakfast Kuna muhudumu nimeona ana🤰 Nikamwambia hongera sana, Mungu akujalie ujifungue salama Kanijibu—natamani hata hii mimba ingekuwa yako💀🤡 Kauli imenikata sana, hata supu yenyewe nimeacha

Zee La Nyeti 𝕏 (@originozee17) 's Twitter Profile Photo

CAF Na Wizara Ya Michezo Nadhani Wameona Jinsi Viti Vilivyon'golewa Na Waarabu Wakishirikiana Na Mashabiki Wa Yanga Sisi Tumewaachia Wenye Dhamana Na Mamlaka Wachukue Hatua Kali Dhidi Ya Wahuni Kwa Kuharibu Miondombinu Halafu Nilitaka Kusahau Wamechangia Kumpiga Refa Pia.😎

CHURA WA GOLIGOTHA MKALI PAPARAZZI (@maestrowafact) 's Twitter Profile Photo

HAYA HUTAFUNDISHWA DARASANI 1.Rafiki yako unayeheshimiana naye, usiwe na namba ya simu ya mkewe ili kuepuka kutembea naye. 2.Mtu akikusaidia mara moja, usimgeuze kitega uchumi cha kumuomba mara kwa mara. Kumbuka yeye pia ana majukumu yake binafsi.

ELFUJEROOO…!!! (@bukujero_1500) 's Twitter Profile Photo

Kuna demu aliwahi kuninyima nikiwa uchi, moja ya siku ambazo nikikumbuka nahuzunika sana, ile siku nlivaa nguo nikiwa mnyonge sana. 😂 Wanawake wana roho mbaya sana wakiamua🚮

ELFUJEROOO…!!! (@bukujero_1500) 's Twitter Profile Photo

Tomeza njaa mashuleni, Wagonjwa wawe na uhakika wa kula, Wananchi tusahau njaa… Mchague Hashim Rungwe kuwa Rais wa Tanzania. #CHAUMMA Chama cha Ukombozi wa Umma

Tomeza njaa mashuleni, Wagonjwa wawe na uhakika wa kula, Wananchi tusahau njaa…

Mchague Hashim Rungwe kuwa Rais wa Tanzania.

#CHAUMMA Chama cha Ukombozi wa Umma
ELFUJEROOO…!!! (@bukujero_1500) 's Twitter Profile Photo

Watu wanalipwa kuongelea na kusifia wanasiasa, wewe upo upo tu kama mwehu unajifanya mzalendo kunufaisha matumbo ya watu… Bora muamini kwenye chama kitakachokutoa kwenye njaa #CHAUMMA2025 ✅