Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile
Christian Bwaya

@bwaya

U S H U N U Z I — P S Y C H O L O G Y

ID: 38410139

calendar_today07-05-2009 11:03:48

39,39K Tweet

12,12K Followers

948 Following

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Maisha yanatubadilisha. Kadri tunavyokua watu wazima ndivyo tunavyoanza kujali zaidi mambo makubwa makubwa kama hadhi, heshima na mamlaka kuliko urahisi wa maisha unaoambatana na tabia zinazoonekana kuwa za kitoto —kuufurahia wakati uliopo bila hofu ya makosa ya jana na mipango

KANEGENE (@kaniginierick) 's Twitter Profile Photo

Umetoa ufafanuzi makini. Naongezea kipande cha sehemu ya “Framework Development and Delivery of Curricula for Teacher Education Programmes in University Institutions in Tanzania,2024” ili kukazia ulichoelezea.

Umetoa ufafanuzi makini. Naongezea kipande cha sehemu ya “Framework Development and Delivery of Curricula for Teacher Education Programmes in
University Institutions in Tanzania,2024” ili kukazia ulichoelezea.
Ranya (@mayengodr) 's Twitter Profile Photo

Christian Bwaya Imagine unavyoheshimika kazini kwa titles kubwa kubwa halafu unapita baani mhudumu anakuita “bonge” au “kipara” au “cheusi” bila hofu yani! 🫣

Rebecca Mwankenja (@mwanken1) 's Twitter Profile Photo

Christian Bwaya Umri wangu mimi nipo kwenye kundi la watu ambao hatukiwahi kujumuika na wazazi kuongea. Maongezi yetu yalikuwa mama anasema mimi nasema ndio. Hii hali inakuwa ngum sana ukubwani tunajikuta tunashindwa kuhoji, hata makazini ni ndio kila kitu bosi anachosema

LONEWOLF🐺 (@rastaclaaaat) 's Twitter Profile Photo

Ushawai open up kwa mtu afu unaskia ameenda podcast? Kidogo kidogo hivi unaskia "there's this friend of mine" anayabwaga yote kwa podcast kubabeki😂🤣 this why we keep our issues to ourselves yakitushinda tunalia na kusali. Yakitushinda sana tunajiua💔

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Si kila mwanamke aliyezaa kabla ya ndoa hana maadili. Fikiri kabla hujamhukumu ‘singo maza.’ Soma simulizi la Recho kupitia Mwananchi Newspapers #Ushunuzi

Si kila mwanamke aliyezaa kabla ya ndoa hana maadili. Fikiri kabla hujamhukumu ‘singo maza.’
Soma simulizi la Recho kupitia <a href="/MwananchiNews/">Mwananchi Newspapers</a> #Ushunuzi
(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Mshunuzi Christian Bwaya and co., angalia namna Dira ya Maendeleo ya China 2035 na 14th Five Yr Dvt Plan 2025 zilivyoapproach eneo la Sayansi na Tafiti⬇️.

Mshunuzi <a href="/bwaya/">Christian Bwaya</a> and co., angalia namna Dira ya Maendeleo ya China 2035 na 14th Five Yr Dvt Plan 2025 zilivyoapproach eneo la Sayansi na Tafiti⬇️.
Jazee (@charllote100) 's Twitter Profile Photo

May we normalize that quote “mtoto kwa kawaida anahitaji upendo wa pande zote mbili ili ajisikie kubalika” Lakini pia uwepo wa pande mbili katika malezi ndio huchangia mafanikio kwa ukubwa ya huyu mtoto maishani! Sababu anakua na watu wa kuwatazamana kama mfano “rolemodels”

Robert Greene (@robertgreene) 's Twitter Profile Photo

Every day you face battles—that is the reality for all creatures in their struggle to survive. But the greatest battle of all is with yourself—your weaknesses, your emotions, your lack of resolution in seeing things through to the end.