Chacha Heche (@chacha_heche) 's Twitter Profile
Chacha Heche

@chacha_heche

Jesus never fails

ID: 1088047486206394368

calendar_today23-01-2019 12:15:10

15,15K Tweet

32,32K Followers

881 Following

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kupata internet, nimeingia katika mitandao ya kijamii, nimeshuhudia vitu sikuwahi kufikiria vinaweza kutokea katika ardhi yangu. Milima ya maiti za vijana wadogo sana kama nyakati za Liberia ya Charles Taylor au Yugoslavia ya Slobodan Milošević. OMG! Hii ni mambo gani?

Amani Golugwa (@amanigolugwa) 's Twitter Profile Photo

Let my people Go... ! They resisted ... But at Eleventh hour, they were swallowed in the sea, not one was left to tell the tale.. ITATOKEA. Crying... but everything thing gonna be alright...!

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Hii sio bunduki ya kawaida ni silaha za kijeshi zile kubwa kabisa Samia na Abdul walishapanga kuua watu ndani ya nyumba ndio maana wamikuwa na hizi silaha nziro

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️🚨UPDATES - JOHN HECHE #EnforcedDisappearance‼️ Today John Heche was taken by police allegedly to the Regional Commissioner’s office but they sped away and he is nowhere to be found Samia Suluhu seems to want more blood apparently! Heche has no case and they have have

‼️🚨UPDATES - JOHN HECHE #EnforcedDisappearance‼️
Today <a href="/HecheJohn/">John Heche</a> was taken by police allegedly to the Regional Commissioner’s office but they sped away and he is nowhere to be found
<a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> seems to want more blood apparently! 
Heche has no case and they have have
GetrudeM (@getrudemligo) 's Twitter Profile Photo

A friend ambaye alikua katoka kazini anarudi nyumbani, kapigwa risasi na kufariki hapo hapo, na kaacha mtoto wa miezi 6 nyumbani. Halafu mnasema, 'Things should go back to normal' Which normal pls? Nielezewe kama mtoto wa miaka 2.

MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#BREAKING : SENETI YA MAREKANI YAIKOSOA CCM KWA 'UCHAGUZI WA UDANGANYIFU' YATAKA MAPITIO YA MAHUSIANO Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti ya Marekani imeikosoa vikali serikali ya Tanzania, ikidai kuwa imehatarisha usalama wa raia na watalii kufuatia uchaguzi wenye utata.

#BREAKING : SENETI YA MAREKANI YAIKOSOA CCM KWA 'UCHAGUZI WA UDANGANYIFU' YATAKA MAPITIO YA MAHUSIANO 
Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti ya Marekani imeikosoa vikali serikali ya Tanzania, ikidai kuwa imehatarisha usalama wa raia na watalii kufuatia uchaguzi wenye utata.
Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Kuna taarifa kuwa serikali inapanga kuwashitaki watanzania kwa kesi ya ugaidi, zaidi ya watu 400 wako Osterbay Polisi wakisubiri kupelekwa mahakamani! Samia Suluhu Police Force TZ kama mnalitakia mema hili taifa acheni huo ujinga. Kama mtaendelea basi tutakutana mahakamani!! #Mo29

Kuna taarifa kuwa serikali inapanga kuwashitaki watanzania kwa kesi ya ugaidi, zaidi ya watu 400 wako Osterbay  Polisi wakisubiri kupelekwa mahakamani!

<a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> <a href="/tanpol/">Police Force TZ</a> kama mnalitakia mema hili taifa acheni huo ujinga.

Kama mtaendelea basi tutakutana mahakamani!! #Mo29
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

SIMBA na YANGA hazina mashabiki ambao wamepoteza maisha? Je, hizi timu hazitegemei tena mashabiki katika kuwaunga mkono? Je, hizi timu kubwa mbili za Kariakoo zinawapenda mashabiki wakiwaunga mkono tu katika mitkasi yao? Au kwa pamoja wameamua kuwa VIZIWI wakati DAMU zimetapakaa?

Hamadi.Mbeyale🔥🔥 (@hamadchadema) 's Twitter Profile Photo

Taarifa za kuaminika: Ni kuwa Askari polisi wamekita kambi katika kata ya Mwansekwa jijini Mbeya na kuleta taharuki kwa wananchi. Kama mumetoa kauli kuwa majukumu ya kawaida ya endelee sasa mnatafuta nini huko ?. Tutafute njia nzuri ya kuleta Amani lakini sio vitusho na Nguvu.

Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

ADVOCATE PETER ELIBARIKI MAKUNDI (Roll No. 5937) a member of the TLS was tragically passed away on Wednesday, 29th October 2025, following a gunshot incident by Police at Shekilango, near Total Petrol Station, while he was returning home after shopping. Pumzika Wakili Msomi!

ADVOCATE PETER ELIBARIKI MAKUNDI (Roll No. 5937) 
a member of the TLS was tragically passed away on Wednesday, 29th October 2025, following a gunshot incident by Police at Shekilango, near Total Petrol Station, while he was returning home after shopping.

Pumzika Wakili Msomi!
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Kama jamii, tukifanikiwa kujitenga na hizi taasisi mbili za Kariakoo – Simba na Yanga, tutakuwa tumefanikiwa kujikomboa kwa zaidi ya 50%. Nimeona masela wengine wameuwawa wakiwa na jezi za timu zao pendwa. Lakini mapacha wa Kariakoo wamekula kotapini. Hizi siyo timu zetu tena.