KAJOGOO🐓🇹🇿 (@chazmark1) 's Twitter Profile
KAJOGOO🐓🇹🇿

@chazmark1

Gen255

ID: 1621763915754389504

calendar_today04-02-2023 06:54:12

603 Tweet

1,1K Followers

26 Following

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wamesema kwa sauti kubwa kwamba bila mabadiliko hakuna uchaguzi.. kujifungia ndani na kufanya kiburi kwamba mnaweza kufanya uchaguzi na vibaraka wa serikali bila kushirikisha Watanzania wote itakua mbaya sana kwa serikali hii. #NoreformsNoelections

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Leo asubuhi nikiwa mazoezini, nimekutana na bwana Mohamed Issa Mchome(Mr Sangara). Hawa ni miongoni mwa mamilioni ya vijana ambao wanatumia nyenzo duni sana kufanya uvuvi. Pondo, Mtumbwi na nyavu. Hawa vijana wako kwenye ukanda wa Bahari yetu yote kutoka Mtwara mpaka Tanga.

Leo asubuhi nikiwa mazoezini, nimekutana na bwana Mohamed Issa Mchome(Mr Sangara).

Hawa ni miongoni mwa mamilioni ya vijana ambao wanatumia nyenzo duni sana kufanya uvuvi. Pondo, Mtumbwi na nyavu.

Hawa vijana wako kwenye ukanda wa Bahari yetu yote kutoka Mtwara mpaka Tanga.
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Naona kwa kujua au kutokujua Polisi na Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi mnawatia Ujasiri wa Utayari wa Tanganyika? Hili ni Kanisa Moja! Nidhehebu moja! Matumizi haya ya nguvu na Silaha dhidi ya Haki hii ya Wakristo hawa Kuabudu ni Kinyime cha sheria na hata kufungiwa kwa

Shukuru Amos (@shukuruamos) 's Twitter Profile Photo

Umri wa kupiga kura inabidi uwe angalau miaka 25. Au viwepo vigezo kama unalipa angalau milioni 5 kwenye kodi kwa mwaka. Au mwajiriwa unayesikilizia maumivu ya makato kila mahali. Hawa watoto chini ya miaka 25 watauza their civic virginity kwa mwanasiasa kwa ahadi ya vitu vya

Almalik Mokiwa (@almalik_mokiiwa) 's Twitter Profile Photo

SITAWASHAURI KILA KITU __________________________________ Zamani nilikuwa naamini kuwa Forex ni kimbilio kuu la wanachuo waliomaliza bila kupata ajira. Wanajifunza na kutrade Forex ili kupata mkate wao wa siku. Nimekuja kuji prove wrong baada ya kuona asilimia 97 ya watu

Hritik Gupta (@hritikguptaai) 's Twitter Profile Photo

Start a YouTube channel TODAY and make $2,997.80 this month. No luck involved. No upfront cost. Just real strategies that work in 2025. Reply “Need” And I’ll send you a free guide to get started (must be following so I can DM you).

Start a YouTube channel TODAY and make $2,997.80 this month.

No luck involved. No upfront cost.

Just real strategies that work in 2025.

Reply “Need”

And I’ll send you a free guide to get started (must be following so I can DM you).
(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Mnakumbuka ule wimbo wa Asa unaoitwa Mr. Jailer?🤔🤔 I'm in chains, you're in chains too I wear uniforms, and you wear uniforms too I'm a prisioner You're a prisioner too Mr. Jailer I have fears, you have fears too I will die, but you self gon'die too Life is beautiful, don't