WAHENGA🔥🚀 (@ckalby1) 's Twitter Profile
WAHENGA🔥🚀

@ckalby1

Actually counting my karma, living a day at a time.💥
@chelsea my favourite

ID: 1418237394415980550

calendar_today22-07-2021 15:52:30

695 Tweet

588 Followers

1,1K Following

Privaldinho (@privaldinho) 's Twitter Profile Photo

Leo kuna mechi ngumu sana kati ya JKT na Yanga Princess hapa KMC ni mechi ngumu mno msimu huu. Bonge moja la mechi. Mechi ya kukata na shoka. Tupo uwanjani hapa kusubiri kuona hatma ya mchezo wa leo. SportPesa Tanzania

George Job (@georgejob14) 's Twitter Profile Photo

Hii MKWAKWANI ndio ilifungwa zaid ya nusu msimu kwa ukarabati? Ukarabati wetu huwa una zingatia hali ya hewa ya jua tuu, mvua huwa hazipo kwenye mipango yetu ya ukarabati.

hussein (@hecenmo) 's Twitter Profile Photo

Pacome hawezi kutegemewa kwa nafasi ya Aziz Ki, sababu pekee ni availability. Pacome ni ngumu sana kupatikana kwa zaidi ya robo 3 msimu. Chama, Max hawapo good enough. Mmoja anakosa technical ability, mwengine hana physicality+ athleticm. Lazima tusajili mchezaji mkubwa.

JKT Tanzania (@jkt_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Uongozi wa JKT Tanzania FC, kwa niaba ya timu nzima, unaipongeza klabu ya Simba Sports Club kwa kucheza hatua ya fainali ya mashindano ya kombe la Shirikisho Afrika na kufanikiwa kuwa washindi wa pili. #UzalendoKwanza #WajengaNchi #KichapoChaKizalendo

Uongozi wa JKT Tanzania FC, kwa niaba ya timu nzima, unaipongeza klabu ya <a href="/SimbaSCTanzania/">Simba Sports Club</a>  kwa kucheza hatua ya fainali ya mashindano ya kombe la Shirikisho Afrika na kufanikiwa kuwa washindi wa pili.

#UzalendoKwanza
#WajengaNchi
#KichapoChaKizalendo
SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Hivi ushawahi kugundua kuwa ... ukiwa na pesa unaweza kushinda siku nzima bila kula... Ila siku ambayo hauna pesa, njaa inaanza kukugonga Adhana ya Alfajir🤔