Tony (@clitonmichael) 's Twitter Profile
Tony

@clitonmichael

I am a Hustler

ID: 1599509475920052224

linkhttp://wa.me/255716171819 calendar_today04-12-2022 21:02:51

16,16K Tweet

1,1K Followers

232 Following

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Kwa upande mwingine, katika maisha ya kawaida nje ya siasa, usimfikishe mtu mahali akajiona hana tena cha kupoteza. Usimchokoze, usimwuumize, usimpuuze kiasi kwamba haoni tofauti ya kuwa na โ€˜amaniโ€™ na wewe na kupambana na wewe. It is urgly mtu akishaamini lolote litakalotokea

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Rafiki yako, mfanyakazi mwenzako, jirani au ndugu anaweza kuwa anapitia mambo magumu yanayomtia simanzi na fadhaa. Je, umeweka mazingira ya kuaminika akuambie kinachomfedhehesha? Je, akiomba umsikilize unaweza kumsikiliza na kumtunzia siri? Unaweza kweli kumpa masikio bila

Ki Messi Mweusi ๐Ÿ (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Yanga tunawapa sana ufalme wachezaji wetu, Masta Ki alikuja akiwa hana ufalme Burkina Faso lakini sasa hivi anapokelewa kama mfalme. Paccome alikuja hata likes 100 hafikishi pale IG. Yanga wanakutoa chini, wanakupa ufalme halafu wanakuuza. Muulizeni Mayele ana mifano hai. ๐Ÿ“Œ

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Makosa mawili makubwa yanaweza kukugombanisha na kukuingiza kwenye matatizo makubwa na mtu. Kwanza, kumtendea jambo linaloweka rehani utu, staha na heshima yake. Pili, kuharibu kwa makusudi chochote kinachompa riziki halali. Mengine mnaweza kuzumgumza akiwa na hekima. Haya

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Tunazindua Dira 2050 kwa mbwembwe, badae tunaiweka pembeni, tunakomaa na Ahadi za Uchaguzi. Dira inatakiwa iwe "Mkataba wa Taifa wa Maendeleo wa muda husika" Dira ipewe uhalali wa Kisheria.

Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

Engineer ๐Œ๐Ž๐”๐’๐’๐€ ๐๐€๐‹๐‹๐€ ๐‚๐Ž๐๐“๐„ is Green & Yellow๐Ÿ”ฐ Eng. Hersi Said #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Engineer ๐Œ๐Ž๐”๐’๐’๐€ ๐๐€๐‹๐‹๐€ ๐‚๐Ž๐๐“๐„ is Green & Yellow๐Ÿ”ฐ

<a href="/Caamil8/">Eng. Hersi Said</a> 

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Mtu anayeweza kukuchekesha, kukutania, kukufanya usahau cheo chako, hadhi yako na elimu yako kwa muda, akakuondolea haja ya kujichukulia kwa tahadhari sana, mtu huyo ana mchango mkubwa wa utimamu wa afya yako ya akili hata kama hakuambii la maana, hakupi michongo na pengine hana

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Tuweke record sawa! Samia Suluhu aligoma kutoka ili wajumbe wamjadili! Jakaya Kikwete aliwa-warn ๐Ÿ˜ ila ye hakutaka ushauri Mpina akawa anawacheki tu ๐Ÿ˜ Huu ni uhuni na uvunjaji wa Katiba, sheria na kanuni Alafu hakuna kukiuka kidogo au sana kanuni! Chama Cha Mapinduzi huu si utaratibu na

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Kitu Kitakachobadilisha Maisha yako Mazima Kipo Somewhere Kwenye Kitabu Kimoja au Course Mojaโ€”Kazi yako ni Kutafuta Hicho Kitabu au Course Soma Kisha Ingiza Kwenye Action Kile Ulichokisoma then Boom Voila!

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Ukiona Umeanza Kuepuka Drama, Ugomvi na Sehemu Zenye Makele ili Upate Muda Mzuri Wa Kujisikiliza na Kufikiriโ€”basi UMEKUA!