
COSTECH
@costechtanzania
| Official Account of Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH) | Get update of what’s Happening in Tanzania in Research,Technology & Innovation|
ID: 557923161
http://www.costech.or.tz 19-04-2012 16:17:47
3,3K Tweet
12,12K Followers
144 Following

Wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia hii leo Mei 12, 2025 Bungeni jijini Dodoma. Wizara ya Elimu Tanzania


Huu ndio mwonekano wa litakalokuwa jengo jipya la Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia ‘STI Complex’ jijini Dodoma. Ujenzi huu ni sehemu ya Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET), unaofadhiliwa na Benki ya Dunia (World Bank Tanzania ).
















COSTECH SEHEMU YA SAFARI YA MAFANIKIO YA SAHARA SPARKS - DKT. NUNGU Dar es Salaam, Jumatano, Julai 16, 2025. Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH), Dkt. Amos Nungu amesema COSTECH wamekuwa sehemu ya safari ya Sahara Sparks tangu mwanzo
