IAM Music (@countrywizzy_tz) 's Twitter Profile
IAM Music

@countrywizzy_tz

Hip Hop & Rap Artist | East Africa Tanzania |

ID: 914824117

linkhttps://orcd.co/wayback_countrywizzy calendar_today30-10-2012 14:56:53

6,6K Tweet

28,28K Followers

267 Following

Conboicannabino (@conboicannabino) 's Twitter Profile Photo

From Dar 🇹🇿 to Nairobi 🇰🇪 to the states 🇺🇸 We global widdit!🏆 No Cap this RMX slaps different 🌡️🔥, 3 days to go ⏳ Subscribe 🔗 in bio kuwa wakwanza kusikiliza 🎧

Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Disemba mwaka jana walitubless "Ile Ile"🎶 Na ndilo goma ambalo bado tunaBang nalo mpaka hivi sasa 🔥 Ila Tarehe 15 mwezi wanaufungua Mwaka rasmi 👊🏾 FRESH BOYZ.......Upo Tayari??? Na kwa hii Cover inaonesha Wazi kuna Kichwa kimepewa Shavu humu ndani, Jee ni nani???

Disemba mwaka jana walitubless "Ile Ile"🎶 Na ndilo goma ambalo bado tunaBang nalo mpaka hivi sasa 🔥

Ila Tarehe 15 mwezi wanaufungua Mwaka rasmi 👊🏾

FRESH BOYZ.......Upo Tayari???

Na kwa hii Cover inaonesha Wazi kuna Kichwa kimepewa Shavu humu ndani, Jee ni nani???
Crown Media (@crownmediatz) 's Twitter Profile Photo

Hizi ndio ngoma tano bora za Hiphop za msanii DTGC:USZM MIXTAPE OUT NOW ambazo anaamini zilifanya vizuri zaidi mwaka 2024. 1. Mazoea ~ @darassacmg255 Ft Harmonize 2. Nasikia Harufu ~ #NIPENI_MAUA_YANGU💐 Ft Chid Benz 3. Nitasema ~ #Naythetrueboy 4. Pisi ~ @malume_centrozone 5. Moccasin ~

FreshBoys (@freshboystz) 's Twitter Profile Photo

New Music #Usawahuu By FreshBoys Out Now🚨 Available on All Digital Streaming Platforms Production (Mixing &Mastering) By @Producer_randu onerpm.link/usawahuu

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

IAM Music Amefunguka kuwa ana hitsongs zaidi ya 20 na nyimbo zaidi ya 100 Tbway360 @billsepengaa @dicksonmsami #FridayNightLive #FNL #EastAfricaTV #HainaKuchoka

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

IAM Music Ameweka wazi vigezo ambavyo vinaweza pelekea msanii kufanya naye ngoma Tbway360 @billsepengaa @dicksonmsami #FridayNightLive #FNL #EastAfricaTV #HainaKuchoka

Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Kama unadhania ipo siku COUNTRY WIZZY Floo na midondoko yake itapitwa na wakati.... Utakuwa haupo serious Mkuu 🙌🏽 Floo na Stylz usasa unazingatiwa katika kila Project Mashine 🔥

Kama unadhania ipo siku COUNTRY WIZZY Floo na midondoko yake itapitwa na wakati....

Utakuwa haupo serious Mkuu 🙌🏽

Floo na Stylz usasa unazingatiwa katika kila Project

Mashine 🔥
Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Sema Wazee hii ngoma ni kalii sana.... Tukisema tunataka Wimbo na Sio Michano huwa tunamaanisha kitu kama hiki....SAFI 👊🏾 Korasi☑️🔥

Sema Wazee hii ngoma ni kalii sana....

Tukisema tunataka Wimbo na Sio Michano huwa tunamaanisha kitu kama hiki....SAFI 👊🏾

Korasi☑️🔥
IAM Music (@countrywizzy_tz) 's Twitter Profile Photo

#MoneyTalks Chief Godlove_official Kaachia kibao Chenye Shombo Zinazoumiza Na Ili ndo Verse la BABA #SkutaBABA 🔐 Dude liko On YouTube Now 📌 @chief_godlove Bio youtu.be/0eTUTv8l7qw?si…

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

Barbie Boss msanii mpya kwenye record label @iam_music_co ambayo ipo chini ya IAM Music amefunguka namna ilivyotokea mpaka kuwa signed kwenye lebo hiyo. #XXLyaCloudsFm

IAM Music (@countrywizzy_tz) 's Twitter Profile Photo

Beautiful Girl Ft IAM Music (Visual) Out Now Available On YouTube 🚀 You can't afford to ignore this drop 😮‍💨 Run It Up #BarbieMia#BeautifulGirl#NewMusic#LifeOfBarbie#BarbieCore youtu.be/KE56uIWrklI?si…