
Crown FM
@crownfmtz
ID: 1542778512259555328
01-07-2022 07:54:34
27 Tweet
696 Followers
32 Following


Timu ya Crown Media ikiongozwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu Salim Kikeke wakiwa Bungeni leo wakifuatilia kwa makini kipindi cha Maswali na Majibu. Mduda Anoth Paul


Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ACTWazalendo Ndugu Dorothy Semu amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo leo tarehe 22 Aprili 2025. Ndugu Dorothy amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa


HUJAMBO? Malkia Imani Henrick Luvanga anakupitisha katika machache kati ya yale mengi yatakayosikika leo mubashara ndani ya #Kasri la Salim Kikeke Sikiliza KASRI kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 12:00 Jioni hadi saa 3:00 Usiku, unaweza kutufuatilia kupitia 92.1 Mhz, Radio Box &



HUJAMBO? KASRI LIKO HEWANI TAYARI….. 🔥🔥 Malkia Imani Henrick Luvanga akiwa na Nassib Mkomwa wanakupitisha katika machache kati ya yale mengi yatakayosikika leo mubashara ndani ya #KASRILAKIKEKE Sikiliza KASRI kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 12:00 Jioni hadi saa 3:00

Fuatilia Mahojiano kati ya Maxence M. Melo Mkurugenzi wa Jamii Africa Jamii Forums na Salim Kikeke kuangalia mwelekeo wa Tasnia ya Habari nchini Tanzania hasa wakati huu ambao kila Mtu ana uwezo wa kutengeneza Maudhui mtandaoni pamoja na uhuru wa habari nchini Tanzania.



“ Jamii Forums Tumeona kuna uhitaji wa kutafikia Mataifa mengine” Maxence M. Melo Mkurugenzi wa Jamii Afrika

“Kwenye Digitali mwenye Nguvu sio Mwenye ‘Followers’ wengi” Mkurugenzi wa Jamii Africa Jamii Forums , Maxence M. Melo kwenye #KIKAO na #MFALME Salim Kikeke

Kwenye #KIKAO leo #MFALME Salim Kikeke ameketi na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia COSTECH Dkt. Amos Nungu kuangazia Ushirikiano wao na Benki ya CRDB Bank PLC kupitia @crdbbankfoundation utakavyo saidia Vijana wabunifu Nchini. Usikose


“Katika kipindi cha awamu ya sita sekta ya Madini imekuwa na mageuzi makubwa na kuchangia kiasi kikubwa katika pato la taifa ambapo limekuwa kutoka asilimia 7.3 mwaka 2021 hadi asilimia 10.1 mwaka 2024” Anthony Mavunde Waziri wa MADINI akiwasilisha Makadirio ya Bajeti ya Wizara



Management and Development for Health kwa kushirikiana na Servicedigital wamemgusa binti huyu Marry ambaye licha ya kuzaliwa na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI ameweza kumkinga mtoto wake na maambukizi hayo. Afya yako ndiyo kipaumbele chetu. @myservice Crown FM @crowntvtz Repost From @crowntvtz


