Naibu Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT),Taaluma,Utafiti na Ushauri wa Kitaalam Prof.Ezekiel Amri amewataka wanafunzi wapya waliochaguliwa kujiunga na masomo kufuata sheria na taratibu zilizopo ili waweze kufikia malengo yao
Waziri wa Elimu,Utafiti na Ubunifu Mheshimiwa Martina Hirayama toka nchini Uswis ametembelea Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT),na kuona jinsi Taasisi hiyo imejizatiti kwenye masuala ya Teknolojia,Ufundi na Ubunifu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan ajionea namna DIT ilivyojipanga katika kuzalisha vijana mahiri watakaoisaidia nchi.