DarMpya (@darmpya_) 's Twitter Profile
DarMpya

@darmpya_

Bora kusimamia Haki kuliko kuwa mtumwa wa mvunja haki!!!

ID: 1455199146617540612

calendar_today01-11-2021 15:45:25

12 Tweet

148 Followers

23 Following

Associate CPA Catherine Ruge (Msubhati) (@catherineruge) 's Twitter Profile Photo

Naomba kuuliza hivi unatoza tozo kwenye pesa yangu ambayo iko Bank, kwa kuwa serikali imenisaidia nini katika hiyo pesa? Maana mtoa huduma ni bank na ameshakata service fee. #Serikali ituambie why inakata tozo kwenye pesa yangu ambayo iko bank?

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

“Wananchi hatujaona faida ya Tozo, yaani Serikali ya CCM ni hatari sana, Serikali yenye mawaziri kama Mwigulu anayetuambia watanzania twende Burundi? Atangulie yeye huko Burundi sisi hatuendi Burundi” - HASHIM RUNGWE SPUNDA

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Hii nchi wanaofanya kazi kwa V8 ni kama asilimia 0.01%...hamtumii V8 kwa sababu za kiafya bro we ni dokta kabisa..mnatumia sababu ya ubinafsi,kuna ma afisa kilimo wako field kuliko wabunge na hawana V8 na wana afya njema..Hata Nyerere hakuwa na V8 na alizeeka yuko fiti