YULE MMOJA (@discipline2060) 's Twitter Profile
YULE MMOJA

@discipline2060

ID: 1605103985274257408

calendar_today20-12-2022 07:33:25

5,5K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Mchokozi !! (@olemtetezi) 's Twitter Profile Photo

Kama Unaona Gwajima Hana Uhalali Wa Kuongelea UTEKAJI Unaofanyika Nchini Itisha Press Wewe Unayejiona Una Uhalali Uongee Kuhusu UTEKAJI Kama Huwezi Au Hutaki SHUT THE FUCK UP Kujaribu Kuomkosoa Anayepinga UTEKAJI Ni KUUNGA MKONO UTEKAJI Na Hatuta Kuchekea!!

YULE MMOJA (@discipline2060) 's Twitter Profile Photo

Siasa safi bila kuumizana,kujenga taifa pamoja bila kupotezana kisa tofauti za kiitikadi INAWEZEKENA.KATAA UTEKAJI,KATAA WASIOJULIKANA

YULE MMOJA (@discipline2060) 's Twitter Profile Photo

Uko sahihi,ila shida ya watanzania walio wengi ni wajinga,naaamin kwa sababu ujinga hutoka so with time wataamka na watakuwa responsible citizens

YULE MMOJA (@discipline2060) 's Twitter Profile Photo

Tanzania ndio nchi yetu tuilinde,tuitunze,tuipiganie kwa damu na jasho TUTAIKOMBOWA.wenye kunufaika na kila namna isiyo ya haki nchini inayoumiza watanzania either directly ama indirectly kivyovyote vile ndio MAADUI WETU Godbless E.J. Lema Boniface Mwabukusi John Heche Tanzania Abroad TV

YULE MMOJA (@discipline2060) 's Twitter Profile Photo

You think it doesn't concern you so it's none of your business!well I'm here to say, if you don't help bring about justice then one day you too may experience injustice and there will be nobody there to stand before you. HASTA LA VICTORIA SIEMPRE

Dr. YoungHoon Kim (@yhbryankimiq) 's Twitter Profile Photo

As the worldโ€™s highest IQ record holder, I trust this logical conclusion: 1) The Bible is the ultimate truth. 2) The Bible declares that God created only two genders. 3) Therefore, every other gender is a human invention or sci-fi concept.

YULE MMOJA (@discipline2060) 's Twitter Profile Photo

Well said bro,hii imenikumbusha aliyekuw naibu waziri wa maliasili na utalii badae waziri wa kilimo mh japhet hasunga alituambia KULA MAISHA,tulkuw school