
Dizasta Vina
@dizastavina
business: [email protected]
ID: 859973546
http://www.dizastavina.com 03-10-2012 16:37:09
3,3K Tweet
34,34K Followers
1,1K Following


Sababu ya kukosa elimu ya maambukizi wakahisi kurogwa ndio tafsiri ya gonjwa la ukimwi Dizasta Vina

“Tunaumizwa sababu tunaaminiana Wengi walotuumiza ndiyo tuliowaamini sana.” Dizasta Vina 🧠


Mbuzi2 Dizasta Vina homeboy hizi level hizi bana ni za Tai kabisa aisee.


Nyakati kama hizi sikiliza SHAHIDI ya Dizasta Vina #DZSTVN Youtube - youtu.be/fKhrhWN_Mq0



"Maswali ya vipi Meli kubwa inaelea nimeshayaacha nataka kuwa billionaire"🎶 Dizasta Vina

“Kutokujua kupenda si ujanja ni ulemavu…” - Dizasta Vina


Miongoni mwa ngoma kali za story telling na zenye ufundi mkubwa kutoka kwa Dizasta Vina ni #money, kuanzia mpangilio wa matukio yote mwanzo mpaka mwisho na jinsi alivyoonyesha pesa kutoka kwa mtu mmoja ilivyozunguka kwa watu wengi ili waweze kuyamudu maisha yao 👇


Now listening hip hop -Kibabu na Binti What a story jamani, Dizasta Vina

"Nini kesho, wakati leo mbovu." Get better. 🎶 Dizasta Vina


Kenya tuko na ngori mingi sana na TZ na mostly wabunge na leadership ya TZ. Lakini kuna jamaa mmoja natambua sana pale bongo, Dizasta Vina content yake ndio the only thing inaeza unite izi countries Keep the fire burning bro


Wanasema mi' kituko naruka luksi Nishatengwa na milupo ila sikugeuka nuksi Nilitishiwa hadi vifungo sikutupa ujuzi Utotoni sikupewa maputo niliokota books Dizasta Vina 🙌🙌