Dr Godwin .O.Mollel (@dr_mollel) 's Twitter Profile
Dr Godwin .O.Mollel

@dr_mollel

Hon. Deputy Minister-Health | Member of Parliament, Siha DC.

ID: 1085192439839801344

linkhttp://www.moh.go.tz calendar_today15-01-2019 15:10:14

165 Tweet

1,1K Followers

319 Following

Dr Godwin .O.Mollel (@dr_mollel) 's Twitter Profile Photo

Vip hamkuweza kuwekeza ruzuku 2015/2020 na Michango toka zile NGOs za nje na blame rafiki, vip hizi mnazokusanya zitakuwa salama kweli? Je uadilifu wenu kweli unatosha kuitwa Chama kinachoweza shika dola

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Leo, ninachukua ukurasa huu kuwaomba kuwatambua vijana wanaofanya kilimo (wakulima, wazalishaji, waongeza thamani). Watag hapa tuwape pongezi.

Gabriela Cuevas (@gabycuevas) 's Twitter Profile Photo

Today, the Tanzania Parliament passed the Universal Health Coverage Bill πŸŽ‰ In last 3 years the UHC2030 team clarified several areas of concern raised by Hon Neema Lugangira & she shared with πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Health Committee Congratulations Speaker Dr. Tulia Ackson and Minister Ummy Mwalimu πŸ‘πŸ½

Today, the Tanzania Parliament passed the Universal Health Coverage Bill πŸŽ‰

In last 3 years the <a href="/UHC2030/">UHC2030</a> team clarified several areas of concern raised by Hon <a href="/neemalugangira/">Neema Lugangira</a> &amp; she shared with πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Health Committee

Congratulations Speaker <a href="/TuliaAckson/">Dr. Tulia Ackson</a> and Minister <a href="/ummymwalimu/">Ummy Mwalimu</a> πŸ‘πŸ½
Ummy Mwalimu (@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Historia imeandikwa kwa Sekta ya Afya Nchini! Hatimae leo tumeweza kuhitimisha safari tuliyoianza mwaka 2016! Haikuwa safari rahisi lakini waswahili wanasema "kawia ufike"! Hakika Tumeitendea haki sekta ya Afya; Tumewatendea haki watanzania. Na tumeitendea haki nchi yetu.

Historia imeandikwa kwa Sekta ya Afya Nchini! Hatimae leo tumeweza kuhitimisha safari tuliyoianza mwaka 2016! Haikuwa safari rahisi lakini waswahili wanasema "kawia ufike"! Hakika Tumeitendea haki sekta ya Afya; Tumewatendea haki watanzania. Na tumeitendea haki nchi yetu.