Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango) 's Twitter Profile
Dr. Philip Isdor Mpango

@dr_mpango

The official account of the Vice President of the United Republic of Tanzania🇹🇿

ID: 1449260724472143872

linkhttp://www.vpo.go.tz calendar_today16-10-2021 06:28:00

270 Tweet

83,83K Followers

7 Following

Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango) 's Twitter Profile Photo

Kwa niaba ya Mheshimiwa Rais, nawashukuru Viongozi wote wa Dini pamoja na Watanzania kwa ujumla kwa kuitikia kwa wingi katika Dua na Maombi ya kuliombea Taifa letu la Tanzania linapoadhimisha Miaka 60 ya Muungano. Tunapoliombea Taifa letu na hususani Muungano wetu, hatuna budi

Kwa niaba ya Mheshimiwa Rais, nawashukuru Viongozi wote wa Dini pamoja na Watanzania kwa ujumla kwa kuitikia kwa wingi katika Dua na Maombi ya kuliombea Taifa letu la Tanzania linapoadhimisha Miaka 60 ya Muungano.

Tunapoliombea Taifa letu na hususani Muungano wetu, hatuna budi
Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango) 's Twitter Profile Photo

Leo nimefungua Kongamano la Wadau wa Mazingira nchini. Wito wangu kwa Watendaji wote wa Wizara, Wakuu wa Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa na wadau wengine, kuhamasisha na kutoa elimu kwa Wananchi juu ya utunzaji wa mazingira ili kukabiliana na madhara yanayosababishwa na

Katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani 2024, hatuna budi kuchukua hatua za makusudi kurejesha uasili wa mazingira yetu kwa kuendeleza kampeni mbalimbali hususan za upandaji miti, kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia sambamba na uanzishaji wa Bustani za Kijani

Leo nimefungua Kongamano la Kwanza la Kitaifa kuhusu Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Pamoja na mambo mengine Dira ya 2050 inapaswa iwe ya vijana zaidi na kwa ajili ya vijana kutokana na idadi yao ya asilimia 77.5 nchini. Dira ya 2050 ni muhimu ijengwe juu ya

Leo nimefungua Kongamano la Kwanza la Kitaifa kuhusu Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. 

Pamoja na mambo mengine Dira ya 2050 inapaswa iwe ya vijana zaidi na kwa ajili ya vijana kutokana na idadi yao ya asilimia 77.5 nchini. Dira ya 2050 ni muhimu ijengwe juu ya
Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango) 's Twitter Profile Photo

East Africa, just like the rest of Africa, has a very youthful population with the highest fertility rate in the world! This population structure and dynamics can be a huge blessing. It means that we will continue to have a young and dynamic population to build our economies. If

Leo nimeanza ziara ya kikazi ya siku nne katika mkoa wa Dodoma. Nitakagua miradi ya maendeleo, kuzindua miradi iliyokamilika pamoja na kusikiliza changamoto za wananchi wetu.

Ni furaha kubwa kuwa pamoja na wananchi wa Wilaya za Mpwapwa na Kongwa katika siku ya pili ya ziara yangu ya kikazi mkoani Dodoma. Kwa pamoja tumeshuhudia jitihada za serikali katika kusogeza karibu huduma za kijamii katika maeneo yao. Nimesikiliza changamoto zinazowakabili na

Ni furaha kubwa kuwa pamoja na wananchi wa Wilaya za Mpwapwa na Kongwa katika siku ya pili ya ziara yangu ya kikazi mkoani Dodoma. 

Kwa pamoja tumeshuhudia jitihada za serikali katika kusogeza karibu huduma za kijamii katika maeneo yao.

Nimesikiliza changamoto zinazowakabili na
Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango) 's Twitter Profile Photo

Leo ikiwa ni siku ya tatu ya ziara yangu ya kikazi mkoani Dodoma, nimefarijika kuwafikia wananchi wa Wilaya za Kondoa na Chemba. Nimezindua miradi ya maendeleo, kuweka mawe ya msingi katika ujenzi unaoendelea na kuzungumza na wananchi. Wito wangu kwa Wazazi na Walezi nchi nzima

Leo ikiwa ni siku ya tatu ya ziara yangu ya kikazi mkoani Dodoma, nimefarijika kuwafikia wananchi wa Wilaya za Kondoa na Chemba.

Nimezindua miradi ya maendeleo, kuweka mawe ya msingi katika ujenzi unaoendelea na kuzungumza na wananchi.

Wito wangu kwa Wazazi na Walezi nchi nzima
Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango) 's Twitter Profile Photo

Asanteni sana wananchi wa mkoa wa Dodoma kwa kuungana nami na viongozi wenzangu katika ziara ya kikazi ya siku nne. Hakika imekua ziara nzuri ambayo imeniwezesha kujionea hatua kubwa za kimaendeleo tulizopiga. Napenda kuwahakikishia kuwa ni dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita

Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango) 's Twitter Profile Photo

Leo nimeshiriki kilele cha Kongamano kuhusu Uhuru wa Kidini Afrika lililofanyika mkoani Arusha. Ni matumaini yangu kuwa, limekuwa ni jukwaa zuri lililowezesha kujadili masuala muhimu yahusuyo uhuru wa kidini na kuishi pamoja kwa amani na kwamba sasa washiriki watakuwa tayari

Nimefungua Mkutano wa 53 wa mwaka wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Gran Melia Jijini Arusha. Nimesisitiza umuhimu wa Mabunge kusimamia Serikali katika utekelezaji wa majukumu yake na kusimamia Sheria na Mikataba mbalimbali

Nimefungua Mkutano wa 53 wa mwaka wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Gran Melia Jijini Arusha.

Nimesisitiza umuhimu wa Mabunge kusimamia Serikali katika utekelezaji wa majukumu yake na kusimamia Sheria na Mikataba mbalimbali
Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango) 's Twitter Profile Photo

Ziara ya Kikazi ya siku nne Mkoani Tabora. Nimeanza kwa kuzungumza na wananchi wa Wilaya za Igunga na Nzega pamoja na kuweka Mawe ya Msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo ukiwemo mradi mkubwa wa maji wa Bukene kutoka Ziwa Victoria unaogharimu shilingi Bilioni 29.3 ambao

Siku ya pili ya ziara ya kikazi mkoani Tabora. Nimeweka Mawe ya Msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi wa Wilaya za Uyui na Tabora. Serikali imeendelea kuboresha huduma za kijamii katika Mkoa wa Tabora pamoja na kuinua sekta muhimu za

Siku ya pili ya ziara ya kikazi mkoani Tabora. Nimeweka Mawe ya Msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi wa Wilaya za Uyui na Tabora. 

Serikali imeendelea kuboresha huduma za kijamii katika Mkoa wa Tabora pamoja na kuinua sekta muhimu za
Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango) 's Twitter Profile Photo

Nawashukuru Viongozi na Wananchi wote tulioshiriki pamoja katika Ziara yangu ya Kikazi mkoani Tabora. Hakika imekua ziara nzuri ya kujionea maendeleo ya mkoa huu pamoja na kuzifahamu vema changamoto zilizopo. Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kuboresha na kusogeza jirani na

Nawashukuru Viongozi na Wananchi wote tulioshiriki pamoja katika Ziara yangu ya Kikazi mkoani Tabora. Hakika imekua ziara nzuri ya kujionea maendeleo ya mkoa huu pamoja na kuzifahamu vema changamoto zilizopo.

Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kuboresha na kusogeza jirani na
Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango) 's Twitter Profile Photo

Mkutano wa COP29 unaoendelea nchini Azerbaijan ni fursa nyingine ya Dunia kuunganisha jitihada na kuendeleza mapambano dhidi ya uharibifu wa mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Tanzania inashiriki katika Mkutano huu ikiwa miongoni mwa nchi zinazoathirika na

Ninaungana na Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutoa pole kwa waathirika wote wa ajali ya kuanguka kwa ghorofa, katika eneo la Kariakoo Jijini Dar es Salaam. Ninawaombea uponyaji wa haraka majeruhi wote. Kwa ndugu zetu waliofariki, katika ajali hiyo, tunawaombea kwa

Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango) 's Twitter Profile Photo

Umekuwa wakati mzuri kuungana na Watanzania wenzangu katika zoezi muhimu la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo tarehe 27 Novemba 2024. Nimetekeleza wajibu wangu wa Kikatiba katika kuchagua viongozi mbalimbali kwenye Kitongoji cha Kihanga, Kijiji cha Kasumo, Wilaya ya

Nimezindua Hatifungani ya Samia ya Miundombinu (Samia Infrastucture Bond) ambayo inalenga kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 150 ili kuiwezesha TARURA kuongeza mtandao wa barabara za vijijini na mijini. Hatifungani hii itaweza kuwashirikisha wawekezaji wa ndani katika

Nimezindua Hatifungani ya Samia ya Miundombinu (Samia Infrastucture Bond) ambayo inalenga kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 150 ili kuiwezesha TARURA kuongeza mtandao wa barabara za vijijini na mijini. 

Hatifungani hii itaweza  kuwashirikisha wawekezaji wa ndani katika