EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile
EastAfricaRadio

@earadiofm

Official account for East Africa Radio

ID: 386954529

calendar_today08-10-2011 06:27:04

193,193K Tweet

1,4M Followers

10 Following

EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#VIDEO Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelaani vikali tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima na kuliagiza Jeshi la Polisi kumtafuta na kumhoji mtu aliyeandika kwenye mitandao ya kijamii

EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES ''Tuna vijana wetu tuwapeleke VETA, VETA tunayo hapa iko Lindi tuwapeleke wakasome masomo ya kuchomachoma, masomo ya uinjinia wa magari, kompyuta na kila kitu kazi zinakuja, mradi usije ndo tunaanza kutafuta chuo, na nataka nipange kikao kimoja Lindi mjini niwaambie

#UPDATES ''Kuna fursa ya mradi wa gesi wa Lindi wana Ruangwa na sisi tuna fursa ya kunufaika na mradi ule, ule mradi una bilioni 42 dola kama fedha ambayo itazagaa kwa wananchi wanaoishi karibu na mradi ina maana mikoa ya Lindi na Mtwara na ukisema Lindi na sisi Ruangwa tumo,

#UPDATES ''Wafanyabiashara wote wa Ruangwa sasa wanaweza kununua bidhaa moja kwa moja kutoka China, na mimi niliwatia faraja kama untaka kwenda China wala usihofu idara ya uhamiaji iko Ruangwa nenda kachukue pasipoti yako uwe nayo, ndege ipo Air Tanzania inatoka Dar es salaam

#UPDATES "Mwisho sisi Ruangwa hatuko nyuma kimichezo, tumefika hatua nzuri hali ya michezo nchini imekuwa nzuri sasa hivi, ligi yetu iko mbali duniani tuko namba 54, Afrika Tanzania ni ya 4, Afrika mashariki ya kwanza, SADC ya kwanza, sasa na sisi Ruangwa tumeingia kwenye Premier

#VIDEO Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha Ndugu Juma Hokororo amemtaja Rais Samia Suluhu Hassan kama Chachu ya maendeleo ya sekta ya Elimu Wilayani Karatu, akiwasihi wadau mbalimbali wa elimu wilayani humo pamoja na wazazi kushirikiana kwa karibu

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#MICHEZO Kaizer Chiefs ni kama vile wamevunja rekodi ya Simba ya kuwa timu iliyofungwa zaidi kwenye mechi za Derby mfululizo, ambapo wakati Simba wakiwa wamefungwa mechi nne mfululizo basi hii leo Kaizer Chiefs wamevunja rekodi hiyo kwa kufungwa mara ya tano mfululizo kwenye

#MICHEZO Kaizer Chiefs ni kama vile wamevunja rekodi ya Simba ya kuwa timu iliyofungwa zaidi kwenye mechi za Derby mfululizo, ambapo wakati Simba wakiwa wamefungwa mechi nne mfululizo basi hii leo Kaizer Chiefs wamevunja rekodi hiyo kwa kufungwa mara ya tano mfululizo kwenye
EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#HABARI Takribani watu saba wameuawa baada ya hospitali na soko kulipuliwa kwa bomu nchini Sudan Kusini Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limesema helikopta zilidondosha bomu kwenye duka la dawa la hospitali inayoiendesha huko Old Fangak, jimbo la Jonglei, na

#HABARI Takribani watu saba wameuawa baada ya hospitali na soko kulipuliwa kwa bomu nchini Sudan Kusini

Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limesema helikopta zilidondosha bomu kwenye duka la dawa la hospitali inayoiendesha huko Old Fangak, jimbo la Jonglei, na
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#MICHEZO Kwa namna msimu unavyoelekea, Je, unaiona Simba ikibeba TREBLE (yaani makombe yote matatu, Kombe la Shirikisho Afrika CAFCC, Kombe la ligi kuu NBC, pamoja na Kombe la CRDB federation Cup? #SimbaSC #CAFCC #HainaKuchoka #EastAfricaTV

#MICHEZO Kwa namna msimu unavyoelekea, Je, unaiona Simba ikibeba TREBLE (yaani makombe yote matatu, Kombe la Shirikisho Afrika CAFCC, Kombe la ligi kuu NBC, pamoja na Kombe la CRDB federation Cup?

#SimbaSC #CAFCC #HainaKuchoka #EastAfricaTV
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#EPL Ikiwa leo ni jumapili siku ya ibada basi Mashabiki wa Man United inabidi mzidishe sana maombi, kwani timu yenu ipo taabani, ambapo mpaka hivi sasa wametanguliwa kwa mabao 2-1 na Brentford. ⏰HT: Brentford 2-1 Man Utd West Ham 1-1 Tottenham

#EPL Ikiwa leo ni jumapili siku ya ibada basi Mashabiki wa Man United inabidi mzidishe sana maombi, kwani timu yenu ipo taabani, ambapo mpaka hivi sasa wametanguliwa kwa mabao 2-1 na Brentford.

⏰HT: Brentford 2-1 Man Utd
               West Ham 1-1 Tottenham
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#EPL Hebu Mtag rafiki yako anayeteswa na hii timu ⏰FULL TIME : Brentford 4-3 Man Utd West Ham 1-1 Tottenham Brighton 1-1 Newcastle #EPL #EastAfricaTV

#EPL Hebu Mtag rafiki yako anayeteswa na hii timu

⏰FULL TIME : Brentford 4-3 Man Utd
West Ham 1-1 Tottenham
Brighton 1-1 Newcastle

#EPL #EastAfricaTV
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#HABARI Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa, linachunguza tuhuma za askari wawili kuhusika kwenye tukio la kujeruhiwa na kupotea kwa kada wa CHADEMA Mdude Nyagali. "Jeshi la Polisi linafuatilia kwa karibu tuhuma zilizotolewa na mwananchi mmoja ambaye jina lake linaendelea

#HABARI Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa, linachunguza tuhuma za askari wawili kuhusika kwenye tukio la kujeruhiwa na kupotea kwa kada wa CHADEMA Mdude Nyagali.

"Jeshi la Polisi linafuatilia kwa karibu tuhuma zilizotolewa na mwananchi mmoja ambaye jina lake linaendelea
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#MICHEZO Harry Kane imemchukua miaka 31, miezi 9 na siku 6 kushinda kombe lake la kwanza katika maisha yake ya soka, ambapo kombe hili ameshinda hii leo mara baada ya klabu yake ya Bayern Munich kuwa mabingwa wa ligi ya Bundesliga. Bayern wametwaa Ubingwa huo baada ya Leverkusen

#MICHEZO Harry Kane imemchukua miaka 31, miezi 9 na siku 6 kushinda kombe lake la kwanza katika maisha yake ya soka, ambapo kombe hili ameshinda hii leo mara baada ya klabu yake ya Bayern Munich kuwa mabingwa wa ligi ya Bundesliga.

Bayern wametwaa Ubingwa huo baada ya Leverkusen
EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#Kipenga Licha ya kocha Fadlu kuja na makocha wenzake lakini pia amewakuta wenyeji kwenye benchi la ufundi. #Kipenga #EastAfricaRadio