Elimu ya Afya kwa Umma (@elimuyaafya) 's Twitter Profile
Elimu ya Afya kwa Umma

@elimuyaafya

Official page for Health Promotion Section in Ministry of Health - 🇹🇿

ID: 969590005755719680

linkhttps://elimuyaafya.moh.go.tz calendar_today02-03-2018 15:07:26

2,2K Tweet

11,11K Followers

610 Following

Elimu ya Afya kwa Umma (@elimuyaafya) 's Twitter Profile Photo

Kukosa maarifa ni chanzo kikubwa cha hofu. Jielimishe kuhusu Ugonjwa wa Mpox na njia rahisi za kujikinga dhidi ya ugonjwa huu. Kwa taarifa zaidi Piga Simu Namba 199 Bure.

Elimu ya Afya kwa Umma (@elimuyaafya) 's Twitter Profile Photo

Ujumbe kwa jamii kuelekea Siku ya Mchangia Damu Duniani 14 Juni 2025. Maadhimisho ya mwaka huu yanaambatana na kampeni ya kitaifa ya uchangiaji damu kwa hiari inayoendelea kuanzia tarehe 1 hadi 14 Juni 2025 kote nchini. Kaulimbiu ya mwaka huu inasema: “Changia Damu, Leta