Elsie S. Kanza (@eskanza) 's Twitter Profile
Elsie S. Kanza

@eskanza

Ambassador of the United Republic of Tanzania to the United States of America and México | retweet not endorsement

ID: 279010305

calendar_today08-04-2011 12:11:50

21,21K Tweet

18,18K Followers

1,1K Following

US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

As part of the ongoing State Partnership Program between the Nebraska National Guard and the Tanzania Peoples Defence Forces (TPDF), TPDF officials visited the 🇺🇸 state of Nebraska for courtesy visits. Following a highly successful Justified Accord 2025 joint military exercise

Kama sehemu ya Programu ya ushirikiano wa kati ya Kikosi cha Walinzi wa Taifa cha Nebraska na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), maafisa wa JWTZ walitembelea jimbo la Nebraska, Marekani kwa lengo la kufahamiana zaidi. Kufuatia mazoezi ya kijeshi ya pamoja ya

Chargé d’Affaires Andrew Lentz opened a U.S.-Tanzania University partnership meeting bringing together representatives from nine Tanzanian universities across five regions, four U.S. universities, and youth representatives from the U.S. Youth Advisory Board. They discussed

Thrilled to see the University of Dar es Salaam host the Mlimani Open Debate competition on Sunday, which featured debaters from seven Tanzanian universities and four American universities: Morehouse College, Virginia State University (VSU), Rutgers University, and the University

Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dar es Salaam ▪️Tanzania, Marekani kuendelea kukuza ushirikiano wa uchumi kupitia biashara na uwekezaji Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo, akiambatana na Mratibu wa Shirika la Changamoto za Milenia (MCC),

📍Dar es Salaam

▪️Tanzania, Marekani kuendelea kukuza ushirikiano wa uchumi kupitia biashara na uwekezaji

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo, akiambatana na Mratibu wa Shirika la Changamoto za Milenia (MCC),
US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

As part of the ongoing State Partnership Program between the 🇺🇸 state of Nebraska's National Guard and Tanzania People’s Defence Forces (TPDF), a joint 🇺🇸- 🇹🇿 delegation joined Governor Governor Jim Pillen at the Nebraska State Capitol to discuss cooperation opportunities in the areas of

As part of the ongoing State Partnership Program between the 🇺🇸 state of Nebraska's National Guard and Tanzania People’s Defence Forces (TPDF), a joint 🇺🇸- 🇹🇿 delegation joined Governor <a href="/TeamPillen/">Governor Jim Pillen</a> at the Nebraska State Capitol to discuss cooperation opportunities in the areas of
Visit Tanzania (@visittanzania1) 's Twitter Profile Photo

🌍✨ BREAKING: Zlatan Ibrahimović in Serengeti National Park! 🇹🇿🦁 Football legend Zlatan Ibrahimović has touched down in Tanzania and is currently exploring the breathtaking Serengeti National Park — home to the Great Migration, Big Five, and endless horizons! 🌅🐘🦓 His visit

🌍✨ BREAKING: Zlatan Ibrahimović in Serengeti National Park! 🇹🇿🦁

Football legend Zlatan Ibrahimović has touched down in Tanzania and is currently exploring the breathtaking Serengeti National Park — home to the Great Migration, Big Five, and endless horizons! 🌅🐘🦓

His visit
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mwaka 1973 nchi yetu ilipoamua kuifanya Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi, tulijipa pia jukumu la kujenga miundombinu itakayokuwa na hadhi ya makao makuu. Kazi hii imefanyika awamu baada ya awamu, na leo nimekagua ujenzi wa Barabara ya Mzunguko wa Nje na Uwanja wa Ndege wa

Tanzania Embassy | USA (@ubaloziusa) 's Twitter Profile Photo

Mwezi Mei 2025, Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza aliungana na ujumbe kutoka Mkoa wa Dar es Salaam ulioongozwa na Dkt. Toba Nguvila, Katibu Tawala wa Mkoa huo ambao ulifanya ziara jijini Dallas, Texas. Madhumuni ya ziara hiyo iliyokuwa ya mafanikio makubwa yalikuwa ni kujifunza

Mwezi Mei 2025, Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza aliungana na ujumbe kutoka Mkoa wa Dar es Salaam ulioongozwa na Dkt. Toba Nguvila, Katibu Tawala wa Mkoa huo ambao ulifanya ziara jijini Dallas, Texas. Madhumuni ya ziara hiyo iliyokuwa ya mafanikio makubwa yalikuwa ni kujifunza
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Leo imekuwa siku ya kihistoria kwa nchi yetu na ukanda wa Afrika Mashariki ambapo tumefungua ukurasa mpya katika sekta ya usafiri na usafirishaji kwa kuzindua Daraja la JP Magufuli. Daraja hili ni uthibitisho mwingine kuwa nchi yetu inakua kiuchumi na tunaweza kupanga na

Tanzania Embassy | USA (@ubaloziusa) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Balozi alishiriki kama mgeni maalum kwenye mkutano uliojadili kuhusu umuhimu wa teknolojia ya akili mnemba barani Afrika ambao uliandaliwa na Kituo cha Biashara cha Marekani na Afrika kilicho chini ya Chemba ya Biashara ya Marekani. Akichangia kwenye mkutano huo, Mhe.

Mhe. Balozi alishiriki kama mgeni maalum kwenye mkutano uliojadili kuhusu umuhimu wa teknolojia ya akili mnemba barani Afrika ambao uliandaliwa na Kituo cha Biashara cha Marekani na Afrika kilicho chini ya Chemba ya Biashara ya Marekani.

Akichangia kwenye mkutano huo, Mhe.
CorpCnclAfrica (@corpcnclafrica) 's Twitter Profile Photo

Day 1 of the U.S.-Africa Business Summit kicks off! For four days, business and government leaders will engage in dialogue, networking, and deal-making shaping U.S.-Africa business. Join the conversation: #USAfricaBizSummit2025

Executive Council on Diplomacy (@on_diplomacy) 's Twitter Profile Photo

The Executive Council on Diplomacy (ECD) is pleased to announce the newest co-chair of the Ambassador Advisory Board (AAB), H.E. Ambassador Iztok Mirošič!

The Executive Council on Diplomacy (ECD) is pleased to announce the newest co-chair of the Ambassador Advisory Board (AAB), H.E. Ambassador Iztok Mirošič!
Tanzania Embassy | USA (@ubaloziusa) 's Twitter Profile Photo

Mheshimiwa Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alikutana kwa mazungumzo na Bi. Maria A. Velez, Makamu wa Rais wa kampuni ya SBA ya hapa Marekani anayeshughulikia masuala ya uhusiano na Bw. Ravi Suchak, Mkuu wa Mambo ya Nje, Uendelevu na Sera za Umma wa kampuni ya Helios Towers ya

Mheshimiwa Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alikutana kwa mazungumzo na Bi. Maria A. Velez, Makamu wa Rais wa kampuni ya SBA ya hapa Marekani anayeshughulikia masuala ya uhusiano na Bw. Ravi Suchak, Mkuu wa Mambo ya Nje, Uendelevu na Sera za Umma wa kampuni ya Helios Towers ya
Executive Council on Diplomacy (@on_diplomacy) 's Twitter Profile Photo

The Executive Council on Diplomacy (ECD) is pleased to announce the newest co-chair of the Ambassador Advisory Board (AAB), H.E. Ambassador Dr. Elsie S. Kanza! Tanzania Embassy | USA Elsie S. Kanza

The Executive Council on Diplomacy (ECD) is pleased to announce the newest co-chair of the Ambassador Advisory Board (AAB), H.E. Ambassador Dr. Elsie S. Kanza!

<a href="/UbaloziUSA/">Tanzania Embassy | USA</a> <a href="/eskanza/">Elsie S. Kanza</a>
Tanzania Embassy | USA (@ubaloziusa) 's Twitter Profile Photo

Ubalozi uliratibu na kushiriki kwenye ziara ya Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb.), Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Marekani ambako alimwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sherehe za uzinduzi wa jengo jipya