Faida Magiyula 𝕏 (@faida_magiyula) 's Twitter Profile
Faida Magiyula 𝕏

@faida_magiyula

Passionate in Political, Economic & Social - cultural affairs || Argue, Don’t shout | Tweet’s are mine.

ID: 1526536344092164096

linkhttp://instagram.com/faida_magiyula calendar_today17-05-2022 12:13:48

6,6K Tweet

4,4K Followers

1,1K Following

Faida Magiyula 𝕏 (@faida_magiyula) 's Twitter Profile Photo

MPYA.πŸ”° - 26/07/2025 Kutakuwa na kikao cha kawaida cha Halmashauri kuu ya CCM taifa ambacho kitatanguliwa na kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM taifa. 28/07/2025 kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM taifa itaketi kwa ajiri ya kikao cha uteuzi wa mwisho wa wagombea.

Faida Magiyula 𝕏 (@faida_magiyula) 's Twitter Profile Photo

- Mashabiki wa SIMBA SC hata kabla ya msimu ujao kuanza wameishiwa PAWA tayari. πŸ˜† kwa sasa ni mwendo wa kuchapwa "THANK YOU" πŸ˜€

Faida Magiyula 𝕏 (@faida_magiyula) 's Twitter Profile Photo

CHADEMA they can't stick with their own Agenda's. Tayari mmeshatoka kwenye mipango ya kuzuia uchaguzi na kuingia kwenye mtego wa kuijadili CCM! πŸ˜†

Faida Magiyula 𝕏 (@faida_magiyula) 's Twitter Profile Photo

Mwalimu, - Kwa mujibu wa ratiba ya mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM leo ilikuwa siku ya uchaguzi wa Madiwani viti maalumu kupitia mikutano mikuu ya UWT wilaya. Mchakato pekee ulio simamia ni ule wa madiwani wa kata, Ubunge jimbo, Ubunge viti maalumu na Uwakilishi (Zenji).

Faida Magiyula 𝕏 (@faida_magiyula) 's Twitter Profile Photo

- UPOTOSHAJI umeshika hatamu sasa! Zinahitajika nguvu kubwa na jitihada kutoa elimu ya mtandao ili kutambua uhalali na usahihi wa taarifa zinazotolewa.

Faida Magiyula 𝕏 (@faida_magiyula) 's Twitter Profile Photo

Kwenye saga la TFF Vs Bodi ya ligi tulikomaa kuhakikisha kanuni & taratibu zinafuatwa hadi watu waka wajibika! Huku kwenye Media industry hamtaki watu wazingatie ithibati.? DOUBLE STANDARD!