Sonah II (@faridymussa29) 's Twitter Profile
Sonah II

@faridymussa29

sikatai lakini hapana...!

/Manchester united OG
/mwanafalsafa/last Born/Najua mengi

ID: 1520742574444761089

linkhttp://sonah.com calendar_today01-05-2022 12:31:32

10,10K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Sonah II (@faridymussa29) 's Twitter Profile Photo

Hata maisha nitaanza kutafuta 2050 Kama Wamesema 2050 Kila mtanzania atakua anaingiza elfu50 , kwani saiv Kila mtanzania anaingiza shilling ngap..? Najaribu tu kuwaza hapo Nitakua na miaka 59 afu sina kazi hiyo elfu50 watakua wananiingizia tu au..?

Ausi junior (@ausi_junior) 's Twitter Profile Photo

"Nihurumie, Ee Mungu,kadiri ya fadhili zako;ufutilie mbali makosa yangu, kadiri ya wingi wa huruma yako. Unioshe kabisa hatia yangu; unisafishe dhambi yangu.Nakiri kabisa makosa yangu,daima naiona waziwazi dhambi yangu.." Zaburi 51:1-19

Nathan Paul S (@fikra_pevu) 's Twitter Profile Photo

Jamani eeh Riziki anatoa MUNGU pekee, Binadamu anatumika kama daraja tuu. Hakuna binadamu yoyote duniani anaweza kuzuia riziki ambayo mwenyezi MUNGU kakuwekea. Waheshimu watu ila usiwaabudu kisa riziki yako inapitia kwao.

Sonah II (@faridymussa29) 's Twitter Profile Photo

Wanaume tunazingatia sana muonekano, sura na shepu pindi hatujaoa, ila nawaambieni wadada ukishaolewa vyote hivo havina maana Tena kinachomata ni tabia Tukishaoa shepu na muonekano havina maana tena

Sonah II (@faridymussa29) 's Twitter Profile Photo

Jana weekend ilikua murua sana nipo nimepoa na mchumba home kumbe ni manzi ya mjeda, Wamekuja kunichukua eti nikatolee maelezo kambini Nachoshukuru jeshi ni jukumu lake kutulinda wanainchi ko wanaenda kunilinda Sina wacwac.

Jana weekend ilikua murua sana nipo nimepoa na mchumba home kumbe ni manzi ya mjeda,
Wamekuja kunichukua eti nikatolee maelezo kambini
Nachoshukuru jeshi ni jukumu lake kutulinda wanainchi ko wanaenda kunilinda Sina wacwac.
BROTHER (@0101dubu) 's Twitter Profile Photo

Usijidanganye kuwa mwanamke wako ni mwaminifu ukiwa mbali. Mahusiano ya mbali siku hizi ni kujipa matumaini ya uongo. Haupo machoni, unafutika na moyoni.

Eric NDAGIJIMANA®️ (@ericndagije250) 's Twitter Profile Photo

🚨 DONE Khadim Diaw🇲🇷 joins Simba SC🇹🇿 Contract is being signed right now . All documents in place, full agreement sealed between Simba SC🇹🇿 and Khadim Diaw🇲🇷.

🚨 DONE 

Khadim Diaw🇲🇷 joins Simba SC🇹🇿

Contract is being signed right now .

All documents in place, full agreement sealed between Simba SC🇹🇿 and Khadim Diaw🇲🇷.
Malaika (@magdiemma2) 's Twitter Profile Photo

Upendo ni lugha inayoweza kuzungumza na yeyote yule,haijalishi kuwa ni kilema,tajiri au maskini. Good morning my friends.

Hustler👣 (@mrkongajr) 's Twitter Profile Photo

Ukweli Ni Kwamba Hakuna Unayemdai MAFANIKIO Au Anayekudai Wewe. Hivyo Unapaswa Uwe Responsible For 100 % Ili Kufikia Mafanikio Ya Unachotaka. Lesson From HUSTLE HARDER , HUSTLE SMARTER.

Sonah II (@faridymussa29) 's Twitter Profile Photo

AFRICA Hakuna Mapenzi ya Kwelii Kabisa ndiyo maana WANAWAKE wengi Warembo Wanaishia kutumiwa na kuachwa NENDA Bar Zote Tanzania WANAWAKE wazuri NDIYO Wahudumu na wale Wanaoitwa wa kawaidaa NDIYO wameolewa kwa Sababu Warembo wa kibongo wamekosa maarifa na Hekma..!

ELIAS🦁 (@eliaskaneke) 's Twitter Profile Photo

Ako kadem unakolingia ni vile hujui tu,kanatafuta Faraja ya Muda mfupi tu kwako..Bwana Ake waliokorofishana akipunguza hasira tu....wanarudiana..harafu wewe unabaki na maumivu😂😂 Trust me bro usimuamini😂

Luka modric)🇹🇿 (@lparino2002) 's Twitter Profile Photo

Dada usiwadharau wanaume kisa una sura nzuri na makalio makubwa, Ukumbuke sura nzuri na makalio makubwa bila akili ni sawa na mbuga ya wanyama ambayo Haina Simba,..✍️✍️

Malaika (@magdiemma2) 's Twitter Profile Photo

Kwa dunia ya sasa ukiupima urafiki kwa kigezo cha kusaidiwa changamoto zako zote utaishia kubadili marafiki kila siku,maana hata wao wanazo changamoto ambazo wewe huwezi kuwatatulia.