@fau_fausti65676
ID: 1801230301009481728
calendar_today13-06-2024 12:29:40
1,1K Tweet
140 Followers
142 Following
5 hours ago
🔥The 9th Round of Easy Loan, Earn $40 Reward is in progress❗️ ⏰ Promotion Period: January 15th - Feburary 15th, 2025 👉 Register now and check more details at gate.io/campaigns/358
6 months ago
Campo unasoma 5 minutes alafu unapumzika siku tatu😂
Fantasizing about killing people you don't like is actually a therapy
Design nimeskiza wakadinali sidhani kama naeza tokwa hapo tao
Naona mnashikana wawili wawili kwani noah ameitana
dasta ya akili inapatikananga wapi, it's urgent😅
5 months ago
Kwani ash wednesday haifiki😭 Anyway enjoy your friday 😅 #ValentinesDay
Ameniambia niende nirembeshe sura kwa ID nirudi💔😩
Utaskia amejiapisha ogopa Raila 😂😂
For sure😥
Nishai enda mjengo nikaanguka kutoka 5th floor foreman akasema anapenda vile naendea simiti
Mbona shetani atuchome na tunafanya vitu zenye anataka?
Nimelipia nyumba deposit alafu nikasahau njia ya kuenda huko😭
4 months ago
Wengine wetu kama sio high school kuvaa tie 👔 ingekuwa time ya kuzikwa pekee😅
2 months ago
Gachagua has taught me that ukiachana na mtu usimpee amani😄😂😂
a month ago
Yesu sahii akajaribu kukuja kama mwizi sidhani anaeza survive. #RutoMustGoNow
Na mvae smart juu tutaonekana Dunia mzima #OccupyStatehouse #keshonikesho
Road to state house #ceasefire
#SiriNiNunbers
Akili bado inaimba "tunaenda wapi tunaenda statehouse" #SiriNiNumbers