Freeman Mbowe (@freemanmbowetz) 's Twitter Profile
Freeman Mbowe

@freemanmbowetz

Former Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA, Former Leader of the Opposition in Tanzania Parliament & Former Chairman of DUA.

ID: 3544646356

linkhttp://www.mbowe.org calendar_today04-09-2015 12:20:30

1,1K Tweet

667,667K Followers

513 Following

Freeman Mbowe (@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Tunalaani vikali Jeshi la Polisi kukamata Viongozi wetu Wakuu wa Chama ikiwemo Viongozi wa Baraza la Vijana wa Chadema, BAVICHA. Aidha, tunalaani mkakati wa Msajili wa Vyama vya Siasa kwa kushirikiana na Polisi kuzuia kongamano la Bavicha katika kuazimisha siku ya vijana

Freeman Mbowe (@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Hili ni shambulio lingine la kizushi na chuki dhidi ya Chadema na viongozi wake. Ni mkakati wa makusudi wa Police Force TZ wa kutafuta kisingizio cha kukamata na kutesa Wanachadema kwa taarifa toka vyanzo vya uongo. Waeleze hicho kikao cha Zoom kilifanywa na akina nani na kilikuwa na

Hili ni shambulio lingine la kizushi na chuki dhidi ya Chadema na viongozi wake. Ni mkakati wa makusudi wa <a href="/tanpol/">Police Force TZ</a> wa kutafuta kisingizio cha kukamata na kutesa Wanachadema kwa taarifa toka vyanzo vya uongo. 

Waeleze hicho kikao cha Zoom kilifanywa na akina nani na kilikuwa na
Freeman Mbowe (@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Hongera kwa @jwtz_tz kwa kutimiza miaka 60 ya kujitolea na kuhudumia taifa letu. Juhudi zenu za kulinda na kutetea Tanzania ndani na nje ya nchi ni ufahari kwa watu wote. Tunawaomba muendelee  kuwa mahiri na wathubutu katika kulinda misingi ya Katiba yetu na Watanzania wote kwa

Freeman Mbowe (@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Taifa linaendelea kushuhudia kwa njia mbalimbali ubakaji mkubwa wa demokrasia kwenye uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Wasimamizi wa "uchafuzi" huu wamekiuka kwa kiwango kikubwa hata kanuni na miongozo mibovu iliyotengenezwa kwa makusudi na hivyo kuweka

Freeman Mbowe (@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Tunapofunga vituo vya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Taifa limeendelea kushuhudia tena ubaradhuli wa wazi na wa aibu toka kwa mamlaka zote za Serikali kushirikiana kuipatia CCM na wagombea wake ushindi wa aibu hata kwa gharama za maisha ya Watanzania.

As the polling stations in the Local Government elections closes, the nation once again witnesses blatant and shameful misconduct by government authorities working collectively to shamelessly steal the election in favour of CCM and its candidates, even at the expense of Tanzanian

Leo ni siku muhimu sana kwa Chadema tunapofanya uchaguzi wetu wa ndani kwa ajili ya Mabaraza ya Wazee na Vijana. Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wagombea wote wanaoshiriki. Kila mmoja wenu ni wa thamani kwetu katika kupigania maono ya chama chetu. Katika safari yetu hii,

Leo ni siku muhimu sana kwa Chadema tunapofanya uchaguzi wetu wa ndani kwa ajili ya Mabaraza ya Wazee na Vijana. Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wagombea wote wanaoshiriki. Kila mmoja wenu ni wa thamani kwetu katika kupigania maono ya chama chetu.

Katika safari yetu hii,
Freeman Mbowe (@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Kwa viongozi wote wa Baraza la Wazee na Baraza la Vijana waliochaguliwa, hongereni kwa ushindi wenu! Bidii yenu katika harakati zetu imekuwa msingi wa mafanikio haya, inayowapa fursa ya kuwa viongozi wa kuonyesha njia kwa wengine katika kuongoza Baraza lenu. Kwa wale ambao

Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama

Nimesoma neno la leo katika Kalenda ya KKKT kwenye Biblia kutoka Kitabu cha Yakobo 3 : 13 - 18. Limenirutubisha. Natamani nanyi mrutubishwe nalo. "Je, ni nani mwenye hekima na akili miongoni mwenu? Basi, aoneshe jambo hilo kwa mwenendo wake mzuri na kwa matendo yake mema