Baraka Fundo (@fundo_baraka) 's Twitter Profile
Baraka Fundo

@fundo_baraka

Pharmacist | Scholar. Opinions expressed here are solely my own and not my employer's.

ID: 1118247172821090307

calendar_today16-04-2019 20:17:56

5,5K Tweet

2,2K Followers

3,3K Following

MR BEN (@eric__bernard) 's Twitter Profile Photo

Toka shuleni tunafundishwa Bunge ni chombo Kikuu cha kutunga sheria na Kuishauri Serikali ni Sehemu tukufu ambayo hujadili mambo mazito Lakini Nadhani kwa haya yanayoendelea wabunge wetu kusutana na kutupiana vijembe inawezekana walimu walitudanganya au kuna Tatizo mahali

Baraka Fundo (@fundo_baraka) 's Twitter Profile Photo

Kwa Askofu naona rabsha zilikuwa nyingi pia leo. Kelele zenye imani hata kama zinatoka kwa Wajinga huangusha ngome kimasihara. Tusishupaze.

Learner (@diversity2028) 's Twitter Profile Photo

Jambo la kwanza, jamii yetu haina utamaduni wa kuwajibika. Kila mmoja anatamani mambo mazuri lakini hataki kuwajibika. Lakini pia, mfumo umekumbwa na ugonjwa mpya wa kutotaka kusikia CHALLENGES zaidi ya sifa pekee. Kama huzijui shida, huwezi kuzitatua.

Baraka Fundo (@fundo_baraka) 's Twitter Profile Photo

Nadhani kati ya sehemu ngumu sana kutoboa ni TANU. Hapa tutadanganyana na kufarijiana ila kupata Ubunge kupitia chama Cha TANU kunahitaji Pesa haswa. Wabunge wengi huko watakwambia walau hamna hamna 500M. Wajumbe hawalambi mkono mtupu.

Learner (@diversity2028) 's Twitter Profile Photo

Kama unaijua vizuri CCM wala huwezi hata kushtuka. Watachukua fomu watu wengi wana, maana ni Tsh 50,000. Ila majina yatakayorudi yatakuwa YALE YALE tu, yaliyokuwepo siku zote hasa watu wenye FEDHA na watoto wa VIGOGO. Unless kama umechukua fomu kwa MAELEKEZO.

Learner (@diversity2028) 's Twitter Profile Photo

Unaweza pia kutumia gharama kubwa kushinda kura ya maoni, lakini jina lako lisirudi kutoka huko juu, ambako huna wa kukusemea.

Max (@maxannania) 's Twitter Profile Photo

Tatizo lingine liko kwenye mindset za namna hii, kwamba kigezo ni kuwakikisha watu tuuuu. Mambo mengine siyo ya muhimu (mfn Elimu, na uelewa wa mambo mtambuka ) na hakuna haja saaana 😀🙌

cejoas_9 (MD) (@clarenceenerico) 's Twitter Profile Photo

Insights on management of acute biliary pancreatitis in pregnancy, in the light of existing evidence and safety. Aga Khan University acrobat.adobe.com/id/urn:aaid:sc


Insights on management of acute biliary pancreatitis in pregnancy, in the light of existing evidence and safety. <a href="/AKUGlobal/">Aga Khan University</a>
acrobat.adobe.com/id/urn:aaid:sc

(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Baraka Fundo Richard Mabala celestine Kipindi cha utawala wa Mjerumani, Kiswahili kilikuwa lugha ya kufundishia. Mwingereza alipochukua nchi hali ikabadilika, Kiswahili kikatumika kwenye miaka mitano tu ya mwanzo elimu ya msingi kisha iliyobakia yote ikahamia kwenye English medium; urithi tulionao mpaka leo. Hata

(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

MTAZAMO WANGU KUHUSU KISWAHILI KAMA LUGHA YA KUFUNDISHIA. Mwaka 1982 Makweta na wenzake walipompa Nyerere taarifa yao ya Elimu, walimwambia wazi hatuwezi kufika popote bila kutumia Kiswahili kama lugha ya kufundishia. Tulikataa ukweli kipindi kile na tunaukataa ukweli sasa,

Richard Mabala (@mabalamakengeza) 's Twitter Profile Photo

celestine Baraka Fundo (---) Onesmo Mushi usisahau kwamba hawa ni zao la mchujo mkali kwenda kwenye shule chache. Sisi leo tunaongelea elimu ya wote hadi kidato cha nne. Hivyo elimu iwe ya wote

Richard Mabala (@mabalamakengeza) 's Twitter Profile Photo

Mark Twain on patriotism patriotism is "supporting your country all the time, and your government when it deserves it". Uzalendo ni kusapoti nchi yako wakati wote na serikali yako inapostahili.

Emmanuel Mwita (@ej_mwita) 's Twitter Profile Photo

Maana halisi ya Utanzania. Ukabila hauna nafasi. Nyerere ameondoka bila kuijenga MARA licha ya kuwa mtoto wetu. Alikuwa busy kuijenga nchi yote. Mtanzania yeyote anaweza kugombea popote maadamu watu wa eneo husika wanamkubali. Nyamagana-Mwanza imewahi kuongozwa na MJALUO.

Mohamed Salah (@mosalah) 's Twitter Profile Photo

I am truly lost for words. Until yesterday, I never thought there would be something that would frighten me of going back to Liverpool after the break. Team mates come and go but not like this. It’s going to be extremely difficult to accept that Diogo won’t be there when we go

I am truly lost for words. Until yesterday, I never thought there would be something that would frighten me of going back to Liverpool after the break. Team mates come and go but not like this. It’s going to be extremely difficult to accept that Diogo won’t be there when we go
Seleman Yusuph Kitenge (@selemanykitenge) 's Twitter Profile Photo

Dear Youth, You may be hired by an entity to fulfill a specific role, but your greatest responsibility is being a committed member of the team. Offering support to colleagues beyond your job description is a noble act — it embodies teamwork and helps break down workplace silos.

Joel Ntile (@joelntile) 's Twitter Profile Photo

Emmanuel Mwita Trump kama jirani bwana Tollu wananyanyasa sana viongozi wenzao kwa sababu wanajua viongozi wengi sasa wa Afrika sio political intellectuals. Mtu kama Nyerere ukimjia kwa jeuri atakurudia kwa hoja na jeuri ya kiuanazuoni vilevile mpaka umuheshimu hata kama unampa msaada.

Max (@maxannania) 's Twitter Profile Photo

Joel Ntile Emmanuel Mwita When intellectualism meritocracy stopped being the core value in (Africa) politics, it is now evidently that we no longer recognize our personal values let alone national sense of pride.