GH Foundation (@ghfoundationtz) 's Twitter Profile
GH Foundation

@ghfoundationtz

GH Foundation is a youth-led non-government organization dedicated to combat Non Communicable Diseases (NCDs) and championing gender equality.
+255 743 330373

ID: 1688908713992876032

linkhttp://www.ghf.or.tz calendar_today08-08-2023 13:44:18

31 Tweet

119 Followers

18 Following

GH Foundation (@ghfoundationtz) 's Twitter Profile Photo

GH Foundation inakutakia Afya njema ya Figo yako. Zingatia ushauri wa Daktari mtaalamu anayetambulika. Epuka ushauri wa marafiki na watu wengine wasio na taaluma ya Afya. Epuka matumizi ya dawa zisizothibitishwa. Tunza Figo yako.

GH Foundation inakutakia Afya njema ya Figo yako. Zingatia ushauri wa Daktari mtaalamu anayetambulika. Epuka ushauri wa marafiki na watu wengine wasio na taaluma ya Afya. Epuka matumizi ya dawa zisizothibitishwa. 
Tunza Figo yako.
James Mbowe (@jamesmbowe4) 's Twitter Profile Photo

Taasisi ya GH Foundation juzi jumapili 5/5 ilikabidhi nyumba yenye thamani ya Milioni 52 kwa Judith Ruhumbika mjane aliyekumbana na ukatili wa kijinsia Baada ya kufiwa na mumewe kitendo kilichopelekea kufukuzwa nyumbani na watoto wake 5. Ambapo baada ya kuondoka Kahama

GH Foundation (@ghfoundationtz) 's Twitter Profile Photo

Taasisi ya GH Foundation inasherehekea mafanikio ya wanawake na wasichana duniani kote. Tumejizatiti kupambana na ukatili wa kijinsia na magonjwa yasiyoambukiza ili kukuza jamii yenye usawa na usalama. Heri ya Siku ya Wanawake Duniani.!

The GH Foundation celebrates the achievements of women and girls worldwide. We are committed to fighting gender-based violence and non-communicable diseases to promote an equal and safe society. Happy International Women's Day!

Tulitembelea Shule ya Sekondari ya Salma Kikwete ambapo tulienda kutoa elimu kuhusu afya ya uzazi (SRH), kupinga ukatili wa kijinsia (GBV), na kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza (NCD). Aidha, taasisi ilitoa taulo za kike kwa wanafunzi 400. #GHFoundation #PromoteEmpowerlnspire

GH Foundation (@ghfoundationtz) 's Twitter Profile Photo

GH Foundation imefanya kikao na Dr. Hellen Makwani, daktari bingwa wa saratani na Mkuu wa kitengo cha saratani katika Hospitali ya Lumumba, Zanzibar, pamoja na Mkurugenzi wa Genesis Foundation. Wamekubaliana kuingia katika ushirikiano ili kupambana na magonjwa yasiyoambukiza.

GH Foundation imefanya warsha Kinondoni kuwajengea uwezo Polisi, Ustawi wa Jamii, Viongozi wa Dini & Waandishi kupambana na ukatili wa kijinsia. Lengo likiwa ni kuboresha mifumo, ushirikiano & msaada kwa waathirika. #GHfoundation #LetLoveLead #PromoteEmpowerlnspire

GH Foundation inawatakia Ijumaa Kuu yenye tafakari ya kina, huruma na amani. Sadaka ya Kristo ni mwanga wa tumaini kwa ulimwengu. #IjumaaKuu #GHFoundation #PromoteEmpowerInspire

GH Foundation inawatakia Ijumaa Kuu yenye tafakari ya kina, huruma na amani.
Sadaka ya Kristo ni mwanga wa tumaini kwa ulimwengu.
#IjumaaKuu #GHFoundation #PromoteEmpowerInspire
GH Foundation (@ghfoundationtz) 's Twitter Profile Photo

GH Foundation conveys profound Easter salutations. May this sacred season rekindle collective empathy, socio-ethical consciousness, and a renewed commitment to transformative development. #Easter2025 #GHFoundation #PromoteEmpowerInspire

GH Foundation conveys profound Easter salutations. May this sacred season rekindle collective empathy, socio-ethical consciousness, and a renewed commitment to transformative development.
#Easter2025 #GHFoundation #PromoteEmpowerInspire
GH Foundation (@ghfoundationtz) 's Twitter Profile Photo

GH Foundation imemkabidhi Theodory baiskeli ya kisasa katika Shule ya Msingi Chilombora, Ulanga – Morogoro. Itamsaidia kama kiti mwendo na dawati darasani. Theodory, mama yake, walimu na wanafunzi wenzake walifurahi sana! #GHFoundation #PromoteEmpowerInspire #Ulanga #Morogoro

GH Foundation has gifted Theodory a modern bicycle at Chilombora Primary School, Ulanga Morogoro. It will serve as both a wheelchair and a classroom desk. Theodory, his mother, teachers, and classmates were all delighted!

GH Foundation (@ghfoundationtz) 's Twitter Profile Photo

On this Labour Day, we’re celebrating the innovation, grit, and resilience of every worker powering our world. Your hustle fuels progress and shapes tomorrow. Happy Labour Day keep forging new paths! #GhFoundation #PromoteEmpowerInspire

On this Labour Day, we’re celebrating the innovation, grit, and resilience of every worker powering our world. Your hustle fuels progress and shapes tomorrow. Happy Labour Day keep forging new paths!
#GhFoundation #PromoteEmpowerInspire
GH Foundation (@ghfoundationtz) 's Twitter Profile Photo

Wawakilishi wa GH Foundation wanaoshiriki mkutano wa EAPN nchini Rwanda, wamepata fursa ya kutembelea ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda na kupokelewa na Balozi wetu Kigali, Mhe.Habib Kambanga. #GhFoundation #PromoteInspireEmpower

Wawakilishi wa GH Foundation wanaoshiriki mkutano wa EAPN nchini Rwanda, wamepata fursa ya kutembelea ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda na kupokelewa na Balozi wetu Kigali, Mhe.Habib Kambanga.
#GhFoundation #PromoteInspireEmpower
GH Foundation (@ghfoundationtz) 's Twitter Profile Photo

Tunawatakia Waislamu wote Heri ya Mwaka Mpya wa Kiislamu, 1447 Hijria. Tuutumie mwaka huu mpya kama fursa ya kujitathmini, kuimarisha imani, na kuendeleza amani, mshikamano na huruma katika jamii zetu. Hijria Njema. #GhFoundation #PromoteInspireEmpower

Tunawatakia Waislamu wote Heri ya Mwaka Mpya wa Kiislamu, 1447 Hijria. Tuutumie mwaka huu mpya kama fursa ya kujitathmini, kuimarisha imani, na kuendeleza amani, mshikamano na huruma katika jamii zetu. Hijria Njema.
#GhFoundation #PromoteInspireEmpower
GH Foundation (@ghfoundationtz) 's Twitter Profile Photo

Leo Tunaadhimisha historia yetu na kuenzi ukuaji wa biashara, ubunifu na maendeleo ya viwanda.Tushirikiane kujenga uchumi jumuishi. Heri ya Siku ya Saba Saba 🇹🇿 #GhFoundatio #PromoteEmpowerInspire #SabaSaba #Tanzania

Leo Tunaadhimisha historia yetu na kuenzi ukuaji wa biashara, ubunifu na maendeleo ya viwanda.Tushirikiane kujenga uchumi jumuishi. Heri ya Siku ya Saba Saba 🇹🇿
#GhFoundatio #PromoteEmpowerInspire
#SabaSaba #Tanzania