
Global Impact Transformation
@globalimpactt
Dedicated to empowering communities, GIT leverages technology and innovation to promote equity, build resilience, and foster harmonious societies
ID: 1876387981751439360
https://globalimpacttransformation.org 06-01-2025 21:59:39
98 Tweet
243 Followers
10 Following






GIT inayo heshima kubwa kusaini Hati ya Makubaliano (MoU) na Her Initiative ikiwa ni mwanzo wa ushirikiano wa kimkakati katika awamu ya pili ya utekelezaji wa Mradi wa Mshiko Club๐ค. Ushirikiano huu ni fursa adhimu ya kuwawezesha wanafunzi, hususan wasichana, kwa kuwapatia




๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐! Hatimaye W.E.L.L. (Womenโs Empowerment for Livelihoods and Leadership) initiative imefika Tanga! Baada ya safari ya mafanikio katika mikoa ya Bagamoyo, Mtwara na Dar es Salaam (Tandale na Manzese), sasa Tanga nayo imefungua milango kwa wanawake na


๐๐ ๐๐จ๐งโ๐ญ ๐๐ซ๐ข๐ง๐ ๐ฌ๐จ๐ฅ๐ฎ๐ญ๐ข๐จ๐ง๐ฌ ๐ญ๐จ ๐๐จ๐ฆ๐ฆ๐ฎ๐ง๐ข๐ญ๐ข๐๐ฌ, ๐ฐ๐ ๐๐ฎ๐ข๐ฅ๐ ๐ญ๐ก๐๐ฆ ๐ญ๐จ๐ ๐๐ญ๐ก๐๐ซ At GIT, we uplift grassroots leadership, amplify lived experiences, and invest in local systems that create inclusive, resilient futures #GITImpact


Je, unafahamu umuhimu wa elimu nje ya mfumo rasmi katika kuwajenga vijana kuwa wabunifu na kutatua changamoto za kila siku? Her Initiative kwa kushirikiana na Global Impact Transformation tumelifanya hili kwa vitendo kupitia ziara ya Mshiko Club ya Malambamawili.


Ijumaa iliyopita, GIT kwa kushirikiana na Her Initiative tuliendesha mafunzo ya vitendo katika Shule ya Sekondari Malamba Mawili kupitia #MshikoClub wanafunzi walijifunza kutengeneza mkaa mbadala na KIWI ya viatu kwa kutumia malighafi rafiki kwa mazingira. Mafunzo haya




Kongole kwa Kikundi cha Wanawake โTupambaneโ Mtwara! ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ Baada ya kuhitimu mafunzo ya uzalishaji wa mkaa mbadala, sasa wanatumia ujuzi huo kwa matumizi ya nyumbani na kwa biashara, wakichangia ustawi wa familia na kukuza uchumi wa kijani. Tupambane ni ushuhuda wa uwezo wa
