Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile
Godbless E.J. Lema

@godbless_lema

Politician/Activist/Member @Chadematz Member of Central Committee , Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and Father

ID: 845272399381778432

linkhttps://en.wikipedia.org/wiki/Godbless_Lema calendar_today24-03-2017 13:53:39

10,10K Tweet

1,2M Followers

1,1K Following

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Nimemsikia huyu poti anaongea hadi anataka kulia eti "No Reforms, No Election" ilikuwa amsha amsha. ... kupandisha dau wafanye ulaghai wa kisiasa. Mkewe ni mbunge wa uviko19. Akwilina aliuwawa jamaa akitafuta ubunge Kinondoni! Mungu sio mzee Masalakulangwa.. tuombe uzima!

Nimemsikia huyu poti anaongea hadi anataka kulia eti "No Reforms, No Election" ilikuwa amsha amsha. 

... kupandisha dau wafanye ulaghai wa kisiasa.

Mkewe ni mbunge wa uviko19.

Akwilina aliuwawa jamaa akitafuta ubunge Kinondoni!

Mungu sio mzee Masalakulangwa.. tuombe uzima!
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Mmegombea ubunge mara kadhaa mkiwa CHADEMA yenye mtandao mkubwa wa wanachama na viongozi nchi nzima na hamkutangazwa washindi. Lakini ghafla tu 2025 mnaamini mtachaguliwa kuwa wabunge wa CHAUMA katika (mradi wa dola) wa miezi mitano? Ibilisi amewapanda sasa mngefanya nini!

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Hata picha tu. The boy is harmless. Amechora picha akaichoma. Mtu kajishuku, akamtupa jela. Umma ukamtoa. Akaelekea tena kijana atekwe auwawe. Mna roho za ajabu sana!!

Hata picha tu. The boy is harmless. Amechora picha akaichoma. Mtu kajishuku, akamtupa jela. Umma ukamtoa. Akaelekea tena kijana atekwe auwawe. Mna roho za ajabu sana!!