Halima James Mdee (@halimamdee) 's Twitter Profile
Halima James Mdee

@halimamdee

....................

ID: 296709232

linkhttp://www.parliament.go.tz/ calendar_today11-05-2011 08:21:12

20,20K Tweet

1,2M Followers

16,16K Following

Halima James Mdee (@halimamdee) 's Twitter Profile Photo

Umesema VYEMA … you will NEVER know.. MIE NILIAMUA Kunyamaza KIMYA . RAIA MKAMEZA takataka ZOTE mlizomezeshwa. 5 years on… sijajutia UKIMYA wangu.. MAANA naendelea KUJIFUNZA kumbe SIO KILA MTU anaweza vumilia πŸ₯‚πŸ˜ƒ! Cheers najiandaa na MECHI ya WATANΔ° sasa πŸ˜‚!

Halima James Mdee (@halimamdee) 's Twitter Profile Photo

Tumejenga taasisi HATUA kwa HATUA wakati wao wananyonya au hata hawajazaliwa πŸ˜‚πŸ˜‚β€¦ Leo wanamiliki SMARTPHONE wanatuvimbia humu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! KWa BΔ°TΔ° NZITO NZITO .. nikitaka punguza stress natembelea’ga’ hii DUNIA. Ni ya kipekee sana ! πŸ˜‚

Halima James Mdee (@halimamdee) 's Twitter Profile Photo

Nami napenda iwe hivyo . Tena ndio SAFI. πŸ˜‚ ! Yaaani HAKUNA hata kaushahidi.. huoni kanafanya maisha yanakuwa simple sana .

Halima James Mdee (@halimamdee) 's Twitter Profile Photo

Na mimi Nakubaliana nawe 100%. Unajua heshima ilishaondoka 5years ago.. sasa nashangaa kwa nini sipotei kwenye VIDOLE πŸ«†πŸ«†vyenu mkiwa MNACHAPA spana ! πŸ˜„! Ni wazi tu MNANICHUKIA mpaka MNANIPENDA..

Halima James Mdee (@halimamdee) 's Twitter Profile Photo

Mhe. NAONA Timu yako pendwa … imeamua KUTUKIMBIA tena !! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Hiki sio kiwango cha FINALIST wa KOMBE la SHIRIKISHO!!

Mhe. NAONA Timu yako pendwa … imeamua KUTUKIMBIA tena !! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Hiki sio kiwango cha FINALIST wa KOMBE la SHIRIKISHO!!