KANKALA (@haruna_k92) 's Twitter Profile
KANKALA

@haruna_k92

Simba sc & Barcelona & Man city

ID: 1566337799455997956

calendar_today04-09-2022 08:10:46

24,24K Tweet

6,6K Followers

5,5K Following

π’‡π’“π’†π’…π’š_π’ƒπ’π’š360 (@fredy_boy360) 's Twitter Profile Photo

Siku yako imebarikiwa, na uzao wako unebarikiwa, biashara yako imebarikiwa, unebarikiwa utokapo na uingiapo, MUNGU AKUBARIKI ULALAPO NA UAMKAPO .......GOOD MORNING πŸŒ… GENIUSES πŸ’ͺπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™πŸΏ

Siku yako imebarikiwa, na uzao wako unebarikiwa, biashara yako imebarikiwa, unebarikiwa utokapo na uingiapo, 

 MUNGU AKUBARIKI ULALAPO NA UAMKAPO
                   .......GOOD MORNING πŸŒ… GENIUSES πŸ’ͺπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™πŸΏ
AMπŸ’‘ (@tonnyunfiltered) 's Twitter Profile Photo

Mambo 3 ya kuzingatia. 1. Kutafuta pesa. 2. Akili na afya 3.kutengeneza maisha. Mambo mengine mengi ni kelele tu na yanapoteza muda na kukutoa kwenye mfumo. Good morning, brothers and sisters

Malkia Nyuki πŸ‘‘ (@nyuki_malkia) 's Twitter Profile Photo

Men, ukilala na demu sio mke wako hakikisha baada tu ya kumwaga unafanya jambo moja kati ya hayaπŸ˜€ 1. Unaenda mwenyewe bafuni kujisafisha 2. Hakuna kufutwa na kitambaa cha huyo demu 3. Lala baada ya kuona shahawa zimekauka zenyewe

Men, ukilala na demu sio mke wako hakikisha baada tu ya kumwaga unafanya jambo moja kati ya hayaπŸ˜€

1. Unaenda mwenyewe bafuni kujisafisha

2. Hakuna kufutwa na kitambaa cha huyo demu 

3. Lala baada ya kuona shahawa zimekauka  zenyewe
Black Dady (@blacdaady) 's Twitter Profile Photo

HII NDIO HABARI YA MJINI KWASASA! Wezesha laini yako ya #Vodacom kuwa ya SME ili kupata vifurushi vya GB peke yake au kifurushi chenye GB, DAKIKA+ SMS za kutosha kwa gharama nafuu ili uweze kuendelea kuperuzi #BILA kuhofia kuishiwa na bando WhatsApp au Piga Simu ☎️: 0743303484

HII NDIO HABARI YA MJINI KWASASA!

Wezesha laini yako ya #Vodacom kuwa ya SME ili kupata vifurushi vya GB peke yake au kifurushi chenye GB, DAKIKA+ SMS za kutosha kwa gharama nafuu ili uweze kuendelea kuperuzi #BILA kuhofia kuishiwa na bando

WhatsApp au Piga Simu ☎️: 0743303484
πŸ‡© πŸ‡Ύ πŸ‡¦ πŸ‡§ πŸ‡¦ πŸ‡± πŸ‡¦ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@dyabala01) 's Twitter Profile Photo

Naomba #REPOST yako ndugu πŸ™ #yasTanzania #vodacombusiness KARIBU TUKUWEZESHE LAINI YAKO KUWA SME Pata nafuu ya gharama za bando ukiwa na SME VIGEZO: - Majina yako matatu - TIN namba - namba ya NIDA - Email. mawasiliano πŸ‘‡ Piga: 0753605341 Whatsapp: 0678231552

Naomba #REPOST yako ndugu πŸ™

#yasTanzania
#vodacombusiness 

KARIBU TUKUWEZESHE LAINI YAKO KUWA SME

Pata nafuu ya gharama za bando ukiwa na SME

VIGEZO:

- Majina yako matatu 
- TIN namba
- namba ya NIDA
- Email.

mawasiliano πŸ‘‡

Piga: 0753605341
Whatsapp: 0678231552
The champπŸ‘‘ (@fintanjr_) 's Twitter Profile Photo

Ili kupunguza mafarakano kwenye familia, ili mama yako ajisikie furaha kukuita Baba, ili mke wako aendelee kuwa Mke mwema, TAFUTA PESAπŸ’―, happy sunday.

STUNNA (@cavitydamas23) 's Twitter Profile Photo

Ngoje nisubilie comeback ya awa majamaa wanasema wametumia 5% ya mzigo uliopo Na hawaitaji msaada kutoka sehemu yoyote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ngoje nisubilie comeback ya awa majamaa wanasema wametumia 5% ya mzigo uliopo 

Na hawaitaji msaada kutoka sehemu yoyote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Heis_ (@son_noeli) 's Twitter Profile Photo

BASKETBALL X TENNIS STAKEπŸ‘‰πŸΎπŸ‘‰πŸΎ 350k Kampuni (site)πŸ‘‰πŸΏ Paripesa CodeπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏ B27VV Hauna account Paripesa πŸ‘‡πŸΏ Jisajili: bit.ly/49jdVt6 Promo code: WILLY08 First deposit bonus hadi 380k

BASKETBALL X TENNIS 

STAKEπŸ‘‰πŸΎπŸ‘‰πŸΎ 350k

Kampuni (site)πŸ‘‰πŸΏ Paripesa

CodeπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏ  B27VV

Hauna account Paripesa πŸ‘‡πŸΏ 

Jisajili: bit.ly/49jdVt6

Promo code: WILLY08

First deposit bonus hadi 380k
AMπŸ’‘ (@tonnyunfiltered) 's Twitter Profile Photo

Kama huwezi kuomba kwa Kiingereza, tafadhali omba kwa kiswahili tu Nimesikia mtu anasema, β€œ.God, you are nothing without me” πŸ˜‚πŸ˜‚

Kama huwezi kuomba kwa Kiingereza, tafadhali omba kwa kiswahili tu 
Nimesikia mtu anasema, β€œ.God, you are nothing without me” πŸ˜‚πŸ˜‚
PROFESA FUTIBOLI (@profesafootball) 's Twitter Profile Photo

Mungu ana mpango na maisha ya kila mtu hapa duniani bila kujali dini, jinsia, kabila, rangi, taifa, au umri, na kila mtu ni wa kipekee.