
Her Initiative
@herinitiative
An initiative that reframes the value of girls and shapes new social norms that break the cycle of poverty and create financial resilience among girls
ID: 821747535152824323
https://herinitiative.or.tz/2022/07/12/tor-call-for-volunteers/ 18-01-2017 15:54:14
2,2K Tweet
1,1K Followers
367 Following




.Her Initiative ilianza na wasichana watatu na sasa tumefikia mamilion ya wasichana kupitia media na mitandao ya kijamii na kufikia ana kwa ana zaidi ya wasichana 33 elf “ Tariq Salim #MiaKwaVijana


Mwaka 2021 tulipitia kipindi kigumu, na kiongozi wetu Lydia Charles aliandika barua kwa wadau wa maendeleo: “Put Your Money Where Your Words Are.” Barua hiyo iliamsha tena jitihada zake na kuleta mwelekeo mpya. Tariq Salim, #MiaKwaVijana


Join us today to explore the future of youth-led organizations in Tanzania! 🌟 We're amplifying young women’s voices and fostering collaboration with governments & funders to advance their rights. #MiaKwaVijana Kubwa sana toka Her Initiative


Shirika la Her Initiative ilianza na wasichana watatu na sasa tumefikia mamilion ya wasichana kupitia media na mitandao ya kijamii na kufikia ana kwa ana zaidi ya wasichana 33 elf “ Tariq Salim #MiaKwaVijana


Mwaka 2021 tulipitia kipindi kigumu kama taasisi (Her Initiative )na kiongozi wetu Lydia Charles aliandika barua kwa wadau wa maendeleo: “Put Your Money Where Your Words Are.” Barua hiyo iliamsha tena jitihada zake na kuleta mwelekeo mpya. Tariq Salim, #MiaKwaVijana


We are looking for a Communications Intern to join our team! 💥 Passionate about content creation, youth stories, and gender equality? This is your chance. 🗓 Deadline: 26 June 2025 📍 Tanzania 👩🏾‍💻 Young Women encouraged to apply. Apply here 👉 herinitiative.or.tz/#/news?blogId=…
